Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 22
    1. #1
      jaridotcom2's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th July 2012
      Posts : 54
      Rep Power : 353
      Likes Received
      10
      Likes Given
      16

      Default Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      Jamani naomba kunukuu hii post "Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye application 2nd round.Baada ya kuclick itakuja option ya add code ya program kwa ajili ya second round ya selection.Ukiaad hiyo code alafu uje kwenye save changes uclick hapo.Baada ya kuclick save changes itakuja message amabayo itasema kama umeshachaguliwa na hauruhusiwi tena kuomba.Mimi nimefanya hivyo na kuletewa ujumbe huo.

      Angalizo:Application 2nd round inayoonekana baada ya kulog in achana nayo na badala yake nenda moja kwa moja kwenye profile kama nilivyokueleza hapo mwanzoni"
      ....Je ni kweli hili linaukweli? maana mm kinachonishangaza kila mtu anaonekana kapata chuo kwa mjibu Wa maelezo hayo.

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Ipycalypse's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2011
      Location : Mjini hapa
      Posts : 1,172
      Rep Power : 638
      Likes Received
      248
      Likes Given
      148

      Default Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      Kuna wadau wamefanya hivo na changes zimetokea. Ngoja atakuja kushuhudia.

    4. #3
      simon benedicto's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th August 2012
      Posts : 39
      Rep Power : 347
      Likes Received
      0
      Likes Given
      3

      Default Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      sidhani kwa mtazamo wangu kama nikweli,hyo message nikwa applicants wote (sina uhakika sana) coz kuna jamaa yangu alikua not eligible kwa vyuo 6 afu vyuo 2 ndo eligible na ana div3.16 na vyuo alivyo kua eligible ni vye competion lakini amelogin na yeye kaukuta ujumbe wakua already applied n admitted,xo ts not true wadau wa JF.
      Last edited by simon benedicto; 14th August 2012 at 21:39.

    5. #4
      saadmad's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th August 2011
      Posts : 77
      Rep Power : 408
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      Hata mimi nimemchekia mdogo wangu imeleta meseji hio kama no need to reapply but swali la kujiuliza hata kama baadhi meseji ndo hizo ni sawa kwa sababu selection zishafungwa tangu mwezi wa 7 na 2nd round link ukiifungua bado haijawa ready kwa application!!

      TUSIJIAMINI KUPITA MAELEZO MAMBO BAADO!!!!

    6. #5
      Dogo Pora's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th July 2012
      Posts : 65
      Rep Power : 356
      Likes Received
      3
      Likes Given
      2

      Default Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      kuna kaujumbe kanatokea ukifanya application for second round kanasema iv.... WARNING!!! APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE PER EACH STUDENT, YOU HAVE ADMITTED ALREADY BE PATIENT AND SOON YOU WILL KNOW WHERE YOU HAVE SELECTED THANKS!!!

    7. Study Abroad

    8. #6
      jaridotcom2's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th July 2012
      Posts : 54
      Rep Power : 353
      Likes Received
      10
      Likes Given
      16

      Default Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      Quote By Dogo Pora

      Sasa mkuu haka kaujumbe mbona kanatokea kwa watu wote? hapo ndo napopatwa na wasiwasi ebu jaribu kuniweka bayana?

    9. #7

    10. #8
      Dogo Pora's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th July 2012
      Posts : 65
      Rep Power : 356
      Likes Received
      3
      Likes Given
      2

      Default Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      Una uhakika ni kwa watu wote

    11. #9
      NingaR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2012
      Location : C:\Windows\SysWOW64
      Posts : 2,490
      Rep Power : 855
      Likes Received
      384
      Likes Given
      76

      Default Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      Jamani ukianzisha thread sio kwamba unapata umaarufu!! hii mada unge ipeleka kule ambapo wazo au njia hiyo ilipo tolewa

    12. #10
      Ipycalypse's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2011
      Location : Mjini hapa
      Posts : 1,172
      Rep Power : 638
      Likes Received
      248
      Likes Given
      148

      Default

      Quote By ningar
      jamani ukianzisha thread sio kwamba unapata umaarufu!! Hii mada unge ipeleka kule ambapo wazo au njia hiyo ilipo tolewa
      great thinker.

    13. #11
      king rockie ATL's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 262
      Rep Power : 463
      Likes Received
      22
      Likes Given
      42

      Default

      Quote By jaridotcom2
      Sasa mkuu haka kaujumbe mbona kanatokea kwa watu wote? hapo ndo napopatwa na wasiwasi ebu jaribu kuniweka bayana?
      Unasema kwa watu wote ina maana umetembelea account za applicants wote? mbona kwangu tofauti,msikurupuke vijana! mshatuaribia jukwaa!!!

    14. #12
      fahad1208's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th August 2012
      Location : Dar es salaam,Tanzania
      Posts : 31
      Rep Power : 347
      Likes Received
      5
      Likes Given
      0

      Default Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      kuna frend angu ameruhusiwa afanye application baada ya kutest hyo ishu

    15. #13
      king rockie ATL's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 262
      Rep Power : 463
      Likes Received
      22
      Likes Given
      42

      Default

      Quote By jaridotcom2
      Sasa mkuu haka kaujumbe mbona kanatokea kwa watu wote? hapo ndo napopatwa na wasiwasi ebu jaribu kuniweka bayana?
      Unasema kwa watu wote ina maana umetembelea account za applicants wote? mbona kwangu tofauti,msikurupuke vijana! mshatuaribia jukwaa!!!

    16. #14
      Gerald shayo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th August 2012
      Posts : 34
      Rep Power : 346
      Likes Received
      2
      Likes Given
      1

      Default Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      kijana unapoxema wa2 wote unamaanisha nin? Unauwezo wa kuaccess acount zote!

    17. #15
      sahihi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th August 2012
      Posts : 26
      Rep Power : 345
      Likes Received
      2
      Likes Given
      6

      Default Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      Hii mbona kama danganya toto na kutuona sisi kama mazuzu. mimi mwenyewe nipo admitted. Inavyonekana hawapo makini na wanacho tufanyia ni kubuy our time. Mficha magonjwa siku ataumbuka.

    18. #16
      sahihi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th August 2012
      Posts : 26
      Rep Power : 345
      Likes Received
      2
      Likes Given
      6

      Default Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      Quote By Gerald shayo
      kijana unapoxema wa2 wote unamaanisha nin? Unauwezo wa kuaccess acount zote!
      Kuna watu walikuwa not eligible course zote lakini naye anapata hako kaujumbe.

    19. #17
      Siraj's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th August 2012
      Posts : 32
      Rep Power : 346
      Likes Received
      4
      Likes Given
      21

      Post Re: Je hiii ni njia sahihi kweli ya kujua kama kweli umepata chuo? (kutoka TCU)

      washaamulia mabishino tcu check kama ur admitted or.....ndo utajua hatima yako

    20. #18
      Awadh Mabaraza's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th August 2012
      Posts : 69
      Rep Power : 354
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By fahad1208
      kuna frend angu ameruhusiwa afanye application baada ya kutest hyo ishu
      kaka hebu thibitisha kaul yako maana ni wew pekee mwenye tarifa tofaut..

    21. #19
      NingaR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2012
      Location : C:\Windows\SysWOW64
      Posts : 2,490
      Rep Power : 855
      Likes Received
      384
      Likes Given
      76

      Default

      Quote By sahihi
      Kuna watu walikuwa not eligible course zote lakini naye anapata hako kaujumbe.
      Imesha kula kwake huyo

    22. #20
      Vodka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2012
      Location : Nothern west Dar Es Salaam
      Posts : 727
      Rep Power : 517
      Likes Received
      54
      Likes Given
      30

      Default

      Quote By sahihi
      Kuna watu walikuwa not eligible course zote lakini naye anapata hako kaujumbe.
      ishu ni kwamba umechaguliwa tayari kati ya kozi ulizochagua uwezi jua katika kozi zote inawezekana ulizo eligible amepata haina haja ya kurudia ndo maana wanakumbia tulia uwe mvumilivu mambo yatakuja tu.

    23. Miaka 50
    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...