Wakuu hatimae Ardhi wamevunja ukimya tembelea webu yao ujionee.
Ahsanteni.
Wakuu hatimae Ardhi wamevunja ukimya tembelea webu yao ujionee.
Ahsanteni.
jamani mnasema kweeeeeliiiiiiiiiii mnatupa preshaaaa
JIPange,,,,kazi kweli kweli
mbona mnatudatisha wana JF
vilaza hao
MZUNGU AKIJICHUBUA HUJUE MOYONI ANA UAFRICA!.by stamina
Kuwa na aibu kijana!!!! Acha uongooooo unatakiwa uact kama msomii!!!Msomi unatoa wrong informations!!!!!!!!!!!!!
swala ni kujipanga kabla ya kutoa poct wakuu instead of give out wrong imformatiom
Kaka tunatesana moyo unalipuka,izo post zipo wapi?
Acheni kushetta washikaj zangu mwez mtukufu huu muogopen allah
Hakuna cha selection wala nn,acha kuturusha mkuu
Tembelea hiyo web yao fresh utakuta hakuna k2 kama hiko
jamani mwenye post za DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY aachie wazee plz plz
aaaaaah....unafki huuu
Follow Us Here