TCU wametangaza kuchapa majina ya wasiochaguliwa katika kozi mbalimbali za vyuo nchini, majina hayo yatatangazwa kupitia website yao leo hii,
TCU wametangaza kuchapa majina ya wasiochaguliwa katika kozi mbalimbali za vyuo nchini, majina hayo yatatangazwa kupitia website yao leo hii,
Hii ilishafahamika tangu jana,wewe ungesubiri wakishaweka hayo majina kwenye tovuti yao ndo uyaupload humu. Thread kama zako zitakuwa nyingi leo humu. Nadhani hii iliyowekwa jana ilikuwa inatosha: HAPA
Jamani mbona kimya humu! Habari za tcu hamna?
BAN ndo nini?
dah mbona hata hao wanaaosema kwamba majina yametoka ya selection lakini mi cyaoni
help me jamani
Tatizo wageni wanajitia ujuaji.
Kabla ya kupost ni vema kupitia post zilizo huku ndan,TCU TCU tena the same story.Why?
aka kaujumbe kapo kwenye a/c yangu
DEAR APPLICANTS 2nd ROUND APPLICATION IS OPENED cjui ndo npo out of 1st selection!?
no hiyo ni kwa wote ndo maana wamesema "dear applicants" which means a message for all!! once you read it tell your fellas who dnt know about this.
Follow Us Here