TCU wametangaza kuchapa majina ya wasiochaguliwa katika kozi mbalimbali za vyuo nchini, majina hayo yatatangazwa kupitia website yao leo hii,
TCU wametangaza kuchapa majina ya wasiochaguliwa katika kozi mbalimbali za vyuo nchini, majina hayo yatatangazwa kupitia website yao leo hii,
Hapo kuna link na attached pdf check it vizuri kaka
''If You Are Always Telling The Truth You Need To Remember Nothing''
Check hadi down flan nimeweka attachement kwa pdf mkuu
''If You Are Always Telling The Truth You Need To Remember Nothing''
kuna cm hawajainstall pdf ukumbuk hilo mkuu
Mungu mkubwa A'm not in the list!!
Iringa 1, tcu kimeleweka.
Hahahahahahaha ilo nalo neno
Dah asante yesu maana simo
If that is the case how many people will know that kind of CODE?.........well because it look like a code to me!!
Wewe ndo huelewi hata ulichouliza! Sasa hapo nimekunukuu vibaya wapi? Umeuliza uki-login kwenye a/c yako unakuta ile "application 2nd round" not active,ila ukifungua 'my profile' unakuta "application 2nd round" ipo active. Nimekujibu kwamba;"Nadhani tcu wanamaanisha utazame "application 2nd round" kabla ya kufungua my profile. Nilicho-quote vibaya ni kipi? Alafu unauhakika gani kama natumia simu ya kichina kuingia JF?
Unselected alicant?mbona haipo?kuna unselected applicant!Wewe ni alicant au applicant?
Thanks 4 tha information
Wakubwa hivi hiyo list imekamilika
jamani mie sikuwa na principal pass nikiapplya naweza pata???
Mbona hatuelewan jaman??Hayo majina yako wapi![]()
Follow Us Here