jaman nackia hawa jamaa kuna pre entry exam
jaman nackia hawa jamaa kuna pre entry exam
sidhani mana i have been there for 3 yrs.labda kama wameweka sahizi kupunguza watu waliochaguliwa na TCU.Ila sidhani,ngoja nifuatilie nitakujulisha.
hao jamaa walio chaguliwa udsm au jamaa gan mkuu?
ni kweli utaratibu huu utaanza mwaka huu, na hii si ajabu kwani hata wizara ya elimu ilifanya hivyo kwa form one
hopkingsclark
Huo utakuwa ulimbukeni na kuidhalilisha necta and nacte ambazo matokeo yake yanampa mtu sifa ya kwenda chuo kikuu.
Mkuuuuuuuuuuuuu kama ulikopi na kupesti unalo hiyo ndo udsm bhanaaaaaaaaaaaaa
Mböna hatujaambiwa?
unamaanisha mtu akichemsha hiyo pre entry exam ndio amekosa nafasi ktk chuo alichochaguliwa?ni kuidhalilisha necta tu,
aaah mambo ya ajabu hayo
naona tunaambiana mambo sio ss km chuo kudisco unadisco pre entry yetu necta kwisha hzo zingine haztambuliki na info ziczothbtshwa hatuzhitag
Hallo! Nisaidie ni wap napata majina ya udsm! Maana nashndwa
Kaka fungua HAPA Kwa kutumia computer,huwezi ona kwenye simu.
kwa udsm tect lazima kijana kwaiyo usiache kupiga msuli
Kwenu WanaJf
Kuna Vijana humu wamekuwa wakitoa kejeli kwa wale wote tuliochaguliwa UDSM mwaka huu,yaani kutuonea gere mara selection fake,mara tunaongeza population Dar,mara kuna majina are not admitted lakini yapo kwenye list ya Udsm.
Naomba niseme UDSM sawa na vyuo vingine,muhimu someni huko mlikochaguliwa mpate G.P.A nzuri tukutane katika soko la Ajira.pia kwa sasa uwezekano wa kuajiriwa Tz ni 20%hivyo ni vizuri ukipanga mapema ili ujiajiri.
Nawatakia Mwaka Mwema Wa Masomo.2012/13
Mkuu unaposema watu wanawaonea gele heba angali ni kwa kiasi gani kozi za hapo ud zimekosa watu.Nimeangalia vizuri sana na nimegundua kuwa hata ud kuna kozi nyingi sana zimekosa watu mfano computer scince,IT na nyingine nyingi.Pia kuna watu wengi walikuwa na pasi nzuri lakini hawakuchagua ud kwahiyo hao wachache wanaopigia debe isiwe sababu.Na hizo kozi zilizokosa watu ni kozi zenye soko zuri katika ajira.
Kwa ushauri, kaangalie available slots kwa ajili ya second round kwa kozi za ud ndio utapata jibu.
Jamani nashangaa kwa nn hawa wa equivalent qualifiction majina yao hayajawekwa kwenye orodha wakati wote waliomba kupitia TCU na mchakato wa kuchaguliwa ulishafanyika kwa wote tayari?.
Co lazima uwe umechaguliwa ud au udom,mayb unaweza ukawa umechaguliwa eckenford au muccobs.
Follow Us Here