JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

  Report Post
  Page 1 of 14 123 11 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 272
  1. king rockie ATL's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st June 2012
   Posts : 265
   Rep Power : 596
   Likes Received
   25
   Likes Given
   43

   Default Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

   Jamani heslb wametoa majina 2649 ya watu waliokosea mambo mbalimbali katika kujaza fomu haya ni:
   -kukosekana picha ya mdhamini
   -kukosekana sahihi ya mwanafunzi
   -kukosekana sahihi ya wakili au mahakama
   -kukosekana kwa sahihi ya serikali ya kijiji

   Tafadhari tembelea heslb.go.tz uweze kuona!
   Quote By Brother James View Post
   Applicants woote wa Loans Board (HESLB) 2014/2015 pita hapa uone kama jina lako lipo kwenye list ya majina yenye makosa ili urekebishe haraka sana kama ilivyo agizwa na HESLB. Majina yoote yaliyowekwa hapa yapo kwenye mfumo wa excel na pia attachment ya pili (ipo kwenye word) ni kwa ajili ya Tangazo la kiujumla lionyeshalo jinsi ya kufuata utaratibu uliowekwa na HESLB kufanya marekebisho hayo. Tahadhali ni kwamba mwisho wa kufanya marekebisho haya ni tarehe 10 September 2014


   Applicants wote waliokosea katika ujazaji fomu za HESLB makosa yapo kwenye haya yafuatayo:
   -kukosekana picha ya mwombaji/mdhamini
   -kukosekana sahihi ya mwombaji/mdhamini
   -kukosekana sahihi na mhuri wa wakili/mahakama
   -kukosekana kwa sahihi/mhuri wa serikali ya kijiji/mtaa   KARIBUNI SANA  2. EARPHONE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th July 2012
   Location : KUFIKIRIKA
   Posts : 349
   Rep Power : 546
   Likes Received
   58
   Likes Given
   4

   Default

   Quote By king rockie ATL View Post
   Jamani heslb wametoa majina 2649 ya watu waliokosea mambo mbalimbali katika kujaza fomu haya ni:
   -kukosekana picha ya mdhamini
   -kukosekana sahihi ya mwanafunzi
   -kukosekana sahihi ya wakili au mahakama
   -kukosekana kwa sahihi ya serikali ya kijiji

   Tafadhari tembelea heslb.go.tz uweze kuona!
   Waliokosea kuweka cheti cha mpiga kura nao wapo?

  3. king rockie ATL's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st June 2012
   Posts : 265
   Rep Power : 596
   Likes Received
   25
   Likes Given
   43

   Default

   Quote By EARPHONE View Post
   Waliokosea kuweka cheti cha mpiga kura nao wapo?
   Haya makosa ndio niliyoyaona mimi

  4. ndupa's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 25th January 2008
   Posts : 4,459
   Rep Power : 0
   Likes Received
   58
   Likes Given
   3

   Default Re: Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

   thanks sana mkuu..nw fanya kwel na wengine wajue...

  5. Gregory93's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st July 2012
   Posts : 17
   Rep Power : 482
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Pitia HESLB uone kama jina lako limekosewa - ni undergraduate na post graduate

   wadau heslb wametoa majina2649 ya undergraduate waliokosea application na 144 wa postgraduate yan hii ni nouma sana ila msijali mnaweza angalia hapa majina yote ya undergraduate na postgraduate lakini hii ni ujanja wa bodi ya mkopo kutoa hii idadi ya watu ili wasipate mkopo bofya hizi link nlzo post uone
   Last edited by Gregory93; 12th August 2012 at 12:35.


  6. NingaR's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2012
   Location : C:\Windows\SysWOW64
   Posts : 2,827
   Rep Power : 1055
   Likes Received
   543
   Likes Given
   223

   Default Re: Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

   Hawa ndo wana slow down michakato

  7. king roja's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 4th May 2012
   Posts : 143
   Rep Power : 515
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default Re: Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

   Sasa wamepangiwa taratibu gani na bodi?

  8. Gregory93's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st July 2012
   Posts : 17
   Rep Power : 482
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: pitia heslb uone kama jina lako limekosewa hawa ni undergraduate na post graduate


  9. Gregory93's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st July 2012
   Posts : 17
   Rep Power : 482
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: pitia heslb uone kama jina lako limekosewa hawa ni undergraduate na post graduate

   Undergraduate applicants with single problem in their application form -List 2 endelea kubofya hapa uone list namba 2 ya majina ya waliokosea kwenye bodi ya mkopo

  10. Gregory93's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st July 2012
   Posts : 17
   Rep Power : 482
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: pitia heslb uone kama jina lako limekosewa hawa ni undergraduate na post graduate

   Undergraduate applicants with single problem in their application form-List 3 hii ni list ya 3 endelea kubofya hapa uone jina lako kama liko

  11. Gregory93's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st July 2012
   Posts : 17
   Rep Power : 482
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: pitia heslb uone kama jina lako limekosewa hawa ni undergraduate na post graduate

   Postgraduate Applicants with Application Form Problems (2012/2013) haya ni majina ya post graduate embu jiangalie kama na wewe uko au laaa

  12. Gregory93's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st July 2012
   Posts : 17
   Rep Power : 482
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Pitia HESLB uone kama jina lako limekosewa - ni undergraduate na post graduate

   wadu endelea kubofya hapa tayari nimeshapost majina ya undergraduate na postgraduate ambao wamekosea fomu ya bodi ya mkopo

  13. king rockie ATL's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st June 2012
   Posts : 265
   Rep Power : 596
   Likes Received
   25
   Likes Given
   43

   Default

   Quote By king roja View Post
   Sasa wamepangiwa taratibu gani na bodi?
   Sijaona utaratibu wowote uliowekwa na kwa hali hii nna mashaka hizo result zitachukua muda sana!

  14. fidelis zul zorander's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th March 2012
   Posts : 662
   Rep Power : 627
   Likes Received
   116
   Likes Given
   10

   Default Re: Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

   hao watu watafanyaje sasa..au ndo wameshakosa mazima

  15. Medical Dictionary's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th March 2012
   Location : Moshi
   Posts : 1,042
   Rep Power : 913
   Likes Received
   294
   Likes Given
   213

   Default Re: Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

   deadline ya kurekebisha ni lini..?nataka kujua sabab hiyo tarehe inaweza ikatupa mwanga kuwa selections zitatangazwa lin..

  16. king rockie ATL's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st June 2012
   Posts : 265
   Rep Power : 596
   Likes Received
   25
   Likes Given
   43

   Default Re: Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

   Hawajatoa tarehe yoyote wala maelezo yoyote zaidi ya hayo majina tu!

  17. Mfukunyuzi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th May 2012
   Posts : 127
   Rep Power : 508
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By king rockie ATL View Post
   Hawajatoa tarehe yoyote wala maelezo yoyote zaidi ya hayo majina tu!
   mbona hyo list ya tatu haifunguki kuna nini tena

  18. Ipycalypse's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2011
   Location : KB-770
   Posts : 1,659
   Rep Power : 867
   Likes Received
   437
   Likes Given
   207

   Default Re: Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

   Dah thanks God sijakosea.
   "CCM SIO BABA YANGU WALA SIO MAMA YANGU"- JK NYERERE

  19. king rockie ATL's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st June 2012
   Posts : 265
   Rep Power : 596
   Likes Received
   25
   Likes Given
   43

   Default

   Quote By Mfukunyuzi View Post
   mbona hyo list ya tatu haifunguki kuna nini tena
   jaribu tena au ingia kwenye web yao kabisa!

  20. KALLAGO's Avatar
   Member Array
   Join Date : 7th August 2012
   Posts : 49
   Rep Power : 482
   Likes Received
   5
   Likes Given
   4

   Default Re: Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

   Inamana wanarudia kuaply tena hawa waliokosea au inakuwaje


  Page 1 of 14 123 11 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...