Wakuu,
Naomba niwakaribishe kuifahamu kwa undani hii tovuti www.mathisfun.com. Natumaini mtaifurahia na pia kuwafahamisha watoto na vijana wenu ili waitumie kikamilifu. Itakuwa vizuri kama mkiwajulisha watu wengi kadri mtakavyoweza.

Asante mkuu kwa kuwajali Watanzania! Tutajitahidi kuwajulisha watu wengine ila kuna changamoto kweli, vijana wengi hupenda kuniuliza hivi: kompyuta yako ina miziki mizuri utuwekee kwenye flash zetu? Nikiwaambia kuna vitabu tu na video za masomo ya sayansi huniona mshamba sana.
Ni kweli mkuu uyasemayo. Muhimu tusikate tamaa bali tuelendelee kuwatia moyo. Nyingine ni hii hapa IXL
Mkuu,
Nakushukuru kwa comment yako.
Kazi iliyopo mbele yetu ni nzito na ngumu. Dawa pekee iliyopo ni kuendelea kupambana nayo bila kukata tamaa wala kurudi nyuma. Tovuti nyingine ni hii hapa IXL
Mkuu sina mengi ya kusema zaidi ya ASANTE SANA!
Follow Us Here