naona tcu mambo yameshakamilika kama hauamini jaribu kutembelea website ya cuhas kwa uhakika zaidi coz wamesha weka majina ya selected aplicants so kaeni mkao wa kula kuanzia next week
naona tcu mambo yameshakamilika kama hauamini jaribu kutembelea website ya cuhas kwa uhakika zaidi coz wamesha weka majina ya selected aplicants so kaeni mkao wa kula kuanzia next week
Hizo ni za MASTERS kijana acha kupanikisha watu wewe.
inaonekana hata za undergraduate zipo njiani coz link zipo kinachosubiliwa ni kuap2date majina 2 kijana coz joining instruction wameshatoa
Dah ngoja tuwasubiri.
A luta continua
joining instruction zipo kwenye website ya chuo mfano walioomba cuhas ebu jaribuni kuvist hyo website mtaona hayo maelekezo
Follow Us Here