Wadau hebu tujuzeni huko mlipo,walimu wanaendeleaje na mgomo wao?maana hapa ndo sehemu yetu muhimu ya kupeana taarifa.Tupeni dira tafadhali

jamani mbona wameshapost uzi kibao ukielezea suala hilo,wewe nawe wataka ujuzwe pekeyako??????
Follow Us Here