Huyu senator ndo alikuwa na true information about TCU kaka kama uko around tujuze Hizi selection za TCU zimefikia wapi? Coz hawa jamaa wengine wanakuja na taarifa zisizo na ukweli ndani Yake..so kaka We are waiting for Your information.

Jamani acheni ubishi amechange ID lakini yupo na kila day namuona humu.
Pitz, source nimewahi kuchat nae kupitia PM
BANNED last time i chcked
Kala ban siku nyingi sana.anatumia id ya senetor07 kwa sasa.
Oya madogo.asanteni kwa kunikumbuka.nimekula ban bwana,ila hakijaharibka kitu.tupo pamoja sana,ntazidi kuwahabarisha wat is going on.
Follow Us Here