Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ina maana hii kozi imejaa??

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 57 of 57
    1. #1
      Sajy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd May 2012
      Posts : 890
      Rep Power : 533
      Likes Received
      107
      Likes Given
      95

      Default Ina maana hii kozi imejaa??

      Niliomba land management n valuation then ikawa eligible, to my suprise ni kwamba sasa hv haiko qualified.. Does that mean wa2 wamenishnda bahati au kiwango?

    2. Study Abroad

    3. #41
      zenmoster's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd October 2011
      Location : U.K
      Posts : 907
      Rep Power : 566
      Likes Received
      183
      Likes Given
      53

      Default Re: Ina maana hii kozi imejaa??

      mie nilijaza civil engineering udsm ikaniambia not eligible ila nikabonyeza CHECK ELIGIBILITY STATUS maandishi mekundu juu hapo kwenye web ya tcu ikakubali kuandika eligible na masela wengine wamefanya hivyo jaribuni na nyie wadau

    4. #42
      NingaR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2012
      Location : C:\Windows\SysWOW64
      Posts : 2,491
      Rep Power : 856
      Likes Received
      384
      Likes Given
      76

      Default

      Quote By fidelis zul zorander
      point 17 ni impossible mkuu wenye hizo point hawakuweza kuapply kupitia tcu kwasababu system haiku waruhusu...
      Umeongea kweli mkuu, kuna jamaa yangu alikua na 3.16 system ilimkataa.

    5. #43
      EJay's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 161
      Rep Power : 384
      Likes Received
      36
      Likes Given
      18

      Default Re: Ina maana hii kozi imejaa??

      3.17, inawezekana mkuu! Mfano
      E=5
      E=5
      F=7
      S ya Gs=0.5

      Div.3 point 17 ambapo tayari ana principle 2.

    6. #44
      NingaR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2012
      Location : C:\Windows\SysWOW64
      Posts : 2,491
      Rep Power : 856
      Likes Received
      384
      Likes Given
      76

      Default

      Quote By EJay
      3.17, inawezekana mkuu! Mfano
      E=5
      E=5
      F=7
      S ya Gs=0.5

      Div.3 point 17 ambapo tayari ana principle 2.
      Inatakiwa angalau awe na cut off points 2.5 sasa EEF hapo ana 2.0(GS haihesabiwi) so haiwezekani!!

    7. #45
      ze duduz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2012
      Posts : 590
      Rep Power : 472
      Likes Received
      54
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By ningar
      kumbe heslb waliongeza muda kwasababu wamebaini mapungufu?? Sasa walio kosea kijaza hizo form wanasaidiwaje???
      ndo maana huwa namkubali kijana senator kwa true information.!! Xo mpango mzima mi nishalamba chuo but hofu yangu ni ishu ya mkopo yaani sipati usingizi kabisa

    8. Miaka 50

    9. #46
      NingaR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2012
      Location : C:\Windows\SysWOW64
      Posts : 2,491
      Rep Power : 856
      Likes Received
      384
      Likes Given
      76

      Default

      Quote By ze duduz
      ndo maana huwa namkubali kijana senator kwa true information.!! Xo mpango mzima mi nishalamba chuo but hofu yangu ni ishu ya mkopo yaani sipati usingizi kabisa
      Sasa kijana tusubili publication tu! I hope mungu katulengeshea palepale

    10. #47
      king rockie ATL's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 262
      Rep Power : 463
      Likes Received
      22
      Likes Given
      42

      Default

      Quote By ze duduz
      ndo maana huwa namkubali kijana senator kwa true information.!! Xo mpango mzima mi nishalamba chuo but hofu yangu ni ishu ya mkopo yaani sipati usingizi kabisa
      chuo kupata ni lazima ila mikopo ndo wengi inatukondesha aisee!

    11. #48
      ze duduz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2012
      Posts : 590
      Rep Power : 472
      Likes Received
      54
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By NingaR
      Sasa kijana tusubili publication tu! I hope mungu katulengeshea palepale
      xana 2 !! Kitu cha udsm or sua kinaniita

    12. #49
      ze duduz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2012
      Posts : 590
      Rep Power : 472
      Likes Received
      54
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By king rockie ATL
      chuo kupata ni lazima ila mikopo ndo wengi inatukondesha aisee!
      umeona eeh ! Yaan ni ful kuwaza

    13. #50
      Seneta001's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th July 2012
      Posts : 84
      Rep Power : 359
      Likes Received
      7
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By fidelis zul zorander
      point 17 ni impossible mkuu wenye hizo point hawakuweza kuapply kupitia tcu kwasababu system haiku waruhusu...
      hvi mtu akipata EEF co 3.17 hyo?au we unaongelea ipi?

    14. #51
      Slaker's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th May 2012
      Posts : 103
      Rep Power : 374
      Likes Received
      7
      Likes Given
      11

      Default

      Quote By tan 90
      umesomeka mkuu. . . . .ila ndo ushanikoroga tumbo langu.
      kwann ukologwe tumbo tena mkuu....? Weka wazi bc great thinker

    15. #52
      Freeman Patrick's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th July 2012
      Posts : 121
      Rep Power : 369
      Likes Received
      12
      Likes Given
      5

      Default Re: Ina maana hii kozi imejaa??

      Xio lazima cut off points iwe 2.5 inategemea na chuo na fuculty unayochukua! Kinachotakiwa ni angalau uwe na two principles!

    16. #53
      Slaker's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th May 2012
      Posts : 103
      Rep Power : 374
      Likes Received
      7
      Likes Given
      11

      Default Re: Ina maana hii kozi imejaa??

      Eeeh kwa mfano university of bagamoyo.,angalien hyo wadau......,.

    17. #54
      Vodka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2012
      Location : Nothern west Dar Es Salaam
      Posts : 727
      Rep Power : 517
      Likes Received
      54
      Likes Given
      30

      Default

      Quote By Makamuzi
      naomba kujua mpigamsuli kapata chuo gan?
      hahahahahaha

    18. #55
      Vodka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2012
      Location : Nothern west Dar Es Salaam
      Posts : 727
      Rep Power : 517
      Likes Received
      54
      Likes Given
      30

      Default Re: Ina maana hii kozi imejaa??

      Sasa vipi sie eligible hiko kote bado? Nasikia wengi kozi ya kwanza mmebadilishiwa kuwa not eligible

    19. #56
      Mbute na chai's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st July 2012
      Posts : 132
      Rep Power : 370
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By ze duduz
      umeona eeh ! Yaan ni ful kuwaza
      The system shall process the applicants with two or more principle passes. Tabu ni kwamba vyuo vichache vina admit kwa 2 principle passes na ni kwa program za science tu. Si kweli kwamba cas haikubali kudahili wenye principle mbili wenye div 3.17, ikikataa umewrong required data.

    20. #57
      Sine r Winters's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th July 2012
      Posts : 98
      Rep Power : 364
      Likes Received
      7
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By Seneta001
      Vijana wangu,kwa taarifa nilizoziepua hvi punde kutoka jikon ni kwamba,mchakato wa selection umekamilika kabisa.ila ngoma imekuja kugomea pale heslb,kuna taarifa za kuaminika kwamba vijana wengi mwaka huu hawajaapply mkopo{sijui kama ni kweli au ndo janja ya kuwanyima mikopo}kwa hiyo wameipa helsb wakati mgumu sana kwani wameshndwa kuelewa tatizo ni nin na ndio maana kama mnafuatilia kuna tangazo limetolewa na helsb likiwataka watu wote ambao hawajapply mkopo wafanye hvo ndani ya wiki 2,bodi ya mikopo wameamua kufanya hvo ili kuepusha zile kelele za madent kwamba wameaply ila hawajapata{ingawa kuna watu kibao tu watakosa}.sasa kinachofanyika sasa ni kusubiri hzo week mbili ziishe then helsb ipitie hayo majina mengne ya watakao kua wameaply na kuyarudisha tena tcu ili tcu waweze kuyapublish.na vile vile kuhusu selection,kuna baadhi ya vyuo hasa hvi vinavofundisha masomo ambayo ni non priorities vimekosa wanafunzi wa kutosha,programs za education,medicine,engineering na agriculture zimefurika watu na hvo kufanya competition hasa kwenye vyuo vyetu vya umma kuwa kubwa sana ingawa kwa matokeo ya mwaka huu wamechukua mpaka div 3.17.chuo kilichoongoza kuchukua wanafunzi wengi ni udsm ambacho kimechukua zaidi ya wanafunz 4500,kikifutiwa na udom,sua na saut.over
      Mmh hi ni noumer bro.

    21. FemaTV & Radio
    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...