Haya wenzangu na mie ambao mmemaliza Udsm2012 na mnaoendelea ile website inayo contain mambo yenu yote imejazwa matokeo tayari! Najua inafunguliwa kwa heshima zote na wadau
Haya wenzangu na mie ambao mmemaliza Udsm2012 na mnaoendelea ile website inayo contain mambo yenu yote imejazwa matokeo tayari! Najua inafunguliwa kwa heshima zote na wadau
waliomaliza kozi gani, na levo ipi?
udbs cna hamu napo tena
Last edited by Pitz; 27th July 2012 at 11:36.
Cass bado
Maisha yetu ni mafupi lazima tuyatete kwa namna yeyote ile!
Coet vip
nna sap sita,narudi kwetu kulima.
nimecheki,ila nashukuru nimemaliza chuo vizuri.Kwaheri UDSM-Main campus,nitakumis sana..byeee
Follow Us Here