Jamani rght on tyme me n best frnd angu 2meandikiwa not eligible koz 2 za ardhi wakat zilikuwa eligible kipind chote...land management and valuatn na buildng survey xote n egm point 13.....post za jesh znapatkana wap jaman....help us plz.......

Hiyo si guarantee kwamba umekosa bado hata hawaja publish admissions, infact hiyo system yao haieleweki mara ukute eligible mara not eligible,mi nadhani cha msingi ni kusubiri na kuona wanasemaje,ila si muda wa wewe kutoa conclusion yako!!!!
Thanks bro 4 gvng us hope .....koz we thought 2me b sacrified ...kumbe system yenyewe imechanganykiwa............xax a y 2liwah huku...!???? 2napeana headache 2,,,,,!
Nakushauri kesho wapigie simu wakupe info za kutosha. Though watu wa adimission ni wadada wananyodo za hapa na pale me niliwapigia siku 4 mfululizo tena sio chini ya mara 3 kwa siku.
Npe namba zao,maaaana hii elimu ya tz nmekata tamaa nayo magumashmagumash meng na huuu umaskin ndo daaah nachokah kabisa,n2pie manamba hayo
mimi kuna kozi nilikua nimeandikiwa not eligible lakini nimelogin leo nimekuta zimekua eligible na nyingine chek in progress..nadhan wanazicheki upya
Kuna k2 ktakuwa knaendelea 2 huko tcu,,,,,,daaah unaweza ukatoka second selektion hivihv,,,,
Poa mwana ntawachek,thn 2taona tatzo nn
nenda kalime sio lazima kusoma..mungu ana makusudi yake..nenda kalime utakuja mjini kuleta mazao wakati wa mavuno
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
Kulima teh teh...kwa mkono au ....!!? B open nmelyk idea yako
Duuuu kumbe!!! Ngoja me nianze kupanda korosho.
Slaker UMENIUDHI!!!!!!!!!!!!!!!!!
"Be an example.." 1 Timothy 4:12
Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
NACHO CHA RUWA!
"Be an example.." 1 Timothy 4:12
Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
NACHO CHA RUWA!
My point is..usifanye kitu kwa kuwa ulichotaka umekosa..are you sure hakuna alternatives za kupata ulichokuwa unataka kusoma?
Na ukiingia huko jeshini...si ndo nyie mtakao kuwa mnauwa raia wasio na hatia maana hata wito wenyewe huna...uliingia tu kwa sababu u were not selected (ndo kufeli huko...)!??? Where will efficiency and effectiveness and creativity kwa kazi come from!??? catch me???
"Be an example.." 1 Timothy 4:12
Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
NACHO CHA RUWA!
Follow Us Here