nipen jib la hilo swali hapo juu je ni sekondar gani tz ambay viongoz wengi na watu mashuhur wamesoma? ikibid hat oroza!
nipen jib la hilo swali hapo juu je ni sekondar gani tz ambay viongoz wengi na watu mashuhur wamesoma? ikibid hat oroza!
Bila ubishi ni tabora school/boys,then nadhani Azania comes next.
Janja janja school, ndyo maana unaona viongoz weng hawajielewi
Tabora boys i thnk.
Mkuu wa kaya alisomea sec gani?
tabora boys,the great.nimfurahi wengi kulitambua hilo.
Taboraaaaa School kichwaaaa cha Tanzaniaaa x 2
Twaelimishwaaaa, Ili tujitegemeeee
Haaapa alisomeshwaaaa, nayeeeeee baba wa taifa
Baba wa taifa x2
Taboraaaaa School kichwaaaa cha Tanzaniaaa
Inaendelea, wadau mtanikumbusha!! I miss my old school!!
Inafaa kiwepo chuo kikuu cha Technolojia ya tiba, Uhandisi pamoja na Siasa kwa mchango wake mkubwa nchini. TABORA NATIONAL UNIVERSITY (Its my wish)
"The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".
ni tabora boys, na pugu sec school
Unaposema watu mashuhuri unakusudia watu gani??
Mkwawa
Ilboru!! you must not miss it at the top 5 best secondary school.
Orodhesheni shule then mtu mashuhuri aliyesoma shule hiyo. Msiongee kiujumla jumla tu kama spika wetu
Dah!Akhsanteni wadau kwa kutambua japo hili jambo zuri linalopatikana nyumbani kwetu Tabora, maana mara zote thread zinazoongelea kwetu mboka manyema huwa zinaponda tu.Mara ma mwinyi,wacheza bao na wanywa gahwa. Wawezya sana!!
Mzumbe sekondari bila shaka, wala bashasha.
Kuna 1. Mbaraka Mwinyishehe (mwanamuziki nguli wa Tanzania).
2. Edward Hosea (Mkurugenzi Takukuru)
Orodha inaweza endelezwa...
malangali secondary school-iringa
1. Mark mwandosya
2. Ibrahimu kaduma
3. Joseph mungai
4. Late daudi mwakawago
5. Late sapi mkwawa
6. Late adam sapi mkwawa
7. Philemon mgaya-was inspector general of police
8. Mathew laban luhanga
9. THOBIAS ANDENGENYE- WAS RPC ARUSHA SASA YUPO MAKAO MAKUU
10 LINUS SINZUMWA-RPC SINGIDA
11. General mboma
A Conference is a gathering of important people who individually can't do
anything but together can decide that nothing can be done
Bwiru boys hapa utawakuta
1.jaji joseph sinde walioba
2.NA huyu fara mwanasheria mkuu wa serikali
"Tanzania freedom does not stop at political independence we have to cross borders to see what is next"
Mbeya sec. 1Joseph Mbilinyi wengine ngoja ninywe kinywaji kwanza nipate kumbukumbu.
Follow Us Here