Wapendwa kwa mwenye taarifa anijulishe kama wizara ya mifugo na uvuvi imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo mwaka huu msaada tafadhali
Wapendwa kwa mwenye taarifa anijulishe kama wizara ya mifugo na uvuvi imetangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo mwaka huu msaada tafadhali
Halafu baadaye mnaanza kulalsmika ooh kazi hakuna wakati mnaenda kusoma mambo ya kupe na ndorobo..someni mambo ya fedha
Huko huko kwenye kupe na ndorobo ndiko kwenye ajira za moja kwa moja kuliko huko kwenye fedha ambako mpaka mtoe rushwa ndo mpate ajira
kama uliomba majina bado hayajatoka,ila kama bado dedline ilikuwa tar 30 juni so imeshapita.
hivi wewe kigogo akili yako ndo imeishia hapo, unataka watu wasome mambo ya fedha? fedha zenyewe zipo wapi? mafisadi wametafuna zote.. mifugo sasa hivi ndo fan inayotoa ajira za moja kwa moja kama ualimu. vyuo hivi vinaitwa LITI. vipo mpwapwa, songea,Arusha,tanga na moro. usidanganye watu kila fani ina umuhimu wake.
mkuu bado hawajatoa, hata mm mwnyw nasubiria.
Mifugo for life. Ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku nk. Ndo wanao2weka mjini. Nabadilisha majani kuwa maziwa au nyama
Je Chuo cha nyuki yametoka?
namalizia general agriculture yangu nisome rasmi diploma ya mifugo
Follow Us Here