
By
Perry
Tatizo watanzania,nyerere aliwalea kwa kuwadekeza sana,iweje mtu atake kuoa achangiwe zaidi ya 20milions,alafu mtu atake kusoma elimu ya juu tushindwe kuchangishana?inabidi tukumbuke kwamba dunia ya leo ni tofauti na dunia ya miaka 50 iliyopita,sio mtu anazaa watoto 10 ategemee eti serikari itawasomesha,inabidi mzazi ajipange hata kabla mtoto hajazaliwa,amwandalie budget ya kumsomesha tangu nursery mpaka chuo kikuu,serikari ina uamuzi wa kufadhili makundi ya watu itakao ona wana uhitaji kwa taifa kama madaktar,engineers,walimu na kilimo.hzo kozi zingne kama mtu anataka kuzisoma ajigharamikie mwenyewe bana,na ikumbukwe kwamba tanzania ya sasa ni sawa na iko kwenye mfumo wa uchumi wa kibepari ambapo mambo mengi ya kimaendeleo kama elimu yanafanywa na wananchi wenyewe na serikari inabaki kuwa msimamizi tu.ebu jaribuni kutembelea baadhi ya nchi kama kenya,uganda nk muone kama mikopo ya elimu ya juu inatolewa ovyo ovyo kama hapa tanzania inavyofanyika sasa,kule kwa wenzetu mikopo inatolewa kwa kozi ambazo serikari inaona zna uhitaji kwa mataifa yao.
Follow Us Here