Wana jf nahitaji kumjua ni nani mtanzania kutunukiwa uprofesa na ni mwaka gani!
Wana jf nahitaji kumjua ni nani mtanzania kutunukiwa uprofesa na ni mwaka gani!
Kighoma malima. Mwaka sijui
Swali zuri hata mimi ningependa kujua wapendwa!
Babu yangu aliata mwaka 1920!
Kumbukumbu zangu zinaniambia ni prof.Kimambo.
Hawa walikuwa maprofesor kabla ya Kimambo
1. Profesor John Machunda Agriculture
2. Profesor Mwamkemwa Medical Doctor
Swali gumu kwelikweli, ila la muhimu kwa historia ya nchi yetu. ngoja tusibiri wadau waje
Proffesor kajuna ndio alikua wa kwanza
Uprofesa kama wa Maji marefu nao unahusika hapa!?
Wadau,nadhani mtu angeandika jina na kutoa justification,kwa mfano ni kwanini unamtaja prof. Kajuna na sio prof. Palamagamba Kabudi(rafiki wa mahakama) au prof. Malimao na sio prof. Kitiputipu.., yangu ni hayo tu kwenye mada hii nzuri
anaweza akawa Professor Shaba Histopathologist who in 1950s he served as secretary to the Royal Pathologists Association nimejaribu kufanya correlation ya mwaka huo na nchi yetu ila sina uhakika
googlr
vipi professor majimarefu? au si wa kwanza?
swali zuri sana hili
Kama Wewe ni Mwandishi kweli,unaamini ,una uhakika na uliandikalo basi Onesha Jina,Sura yako- Jeneral Ulimwengu
Ndimara isaya tegambwage
"The past is a rich resource on which we can draw in order to make decisions for the future, but it does not dictate our choices. We should look back at the past and select what is good, and leave behind what is bad".Nelson Mandela<!--EndFragment-->
Follow Us Here