Wana jf nahitaji kumjua ni nani mtanzania kutunukiwa uprofesa na ni mwaka gani!
Wana jf nahitaji kumjua ni nani mtanzania kutunukiwa uprofesa na ni mwaka gani!
Sio kweli, najua mtabisha lakini find out na utakuta kuwa "huyo Malima wenu" hata hiyo Doctorate ya
SABABU MUISLAM
wana jf mbona hamtoi majibu ina mana wote hamjui? au ili swali nilihamishe jamii intelijensi
Ni swali gumu sanaaaa kujua inahitaji watu waliomaliza zamaniiii
Professor wa kwanza Watanzania naamini walikuwa Professors Arnold Temu and Isaria Kimambo in History. I think they became professors in early 1970s [1971?]. Before 1973 UDSM had the ranks of full Professor/Reader/Senior Lecturer/Lecturer/Assistant Lecturer. However from July 1973 this was changed to Full Professor/Associate Professor/Senior Lecturer/Lecturer/ Assistant Lecturer/Tutorial Assistant. Quite a number of people who were promoted to Associate professpor were called Professors. Kwa hiyo kuna haja ya ku tofautisha kama huyo uliyemtaja alikuwa Associate Professor or full Professor. Kulikuwa pia katika miaka ya 1974 mpaka 1981 watu walifanywa ma-professor kwa sababu ya mishahara yao - wengi wao walikuwa ni ma PS waliohamishiwa UDSM kutoka serikalini [e.g. Professors Machunda/ Kombo etc]. Baada ya 1981 vijana wadogo waliokuwa wanarudi kutoka masomoni nje ya nchi na PhD zao walishinikiza mfumo huo wa kuajiri ufutwe.
Follow Us Here