Swali langu wana jf ni kwamba ni vigezo hani hasa vya msingi hutumika kumpa mtu uprofesa ni kugundua vitu au ni ni ni ?
Swali langu wana jf ni kwamba ni vigezo hani hasa vya msingi hutumika kumpa mtu uprofesa ni kugundua vitu au ni ni ni ?
Ndio nakubaliana nawe juu ya Professor kutumika kama mwalimu, actually hiyo ndio asili yake na liko hivyo katika lugha za kifaransa na kispanish- unaposema professor wao humaanisha mwalimu. Lakini kwa mleta thread alikuwa anataka kujua juu ya professor wa kama level ya utumishi wa taasisi ya elimu! maana kama ni u professor tu hata Maji marefu ni professor! na kuhusu taratibu za kupata hiyo "status" kwa Tanzania nijuavyo ni hadi uwe na shahada ya uzamivu kwanza!
bachelor>masters>doctorate>the n ufumbuzi wa kitu cha kipekee na kikubalike then unatunukiwa Uprofesa
Yap! inawezekana kuna mwalimu wangu mmoja pale UDSM, wakati anafanya Masters yake alikusanya data nyingi sana silizomuwesesha kujibu maswali mengi kutokana na field yake, alipoandika Thesis yake na kuisubmitt chuoni kwake kwa MSc award extenal examiner aka recommend kwa chuo kuwa waiupgrade ile Msc na kuwa PhD! mwingine alikuwa nasoma Msc pale chuo kikuu cha Dar na kabla hajaimaliza akawa amepata PhD scholarship Marekani, akaenda kuanza PhD yake kabla haja defend Msc yake na sasa tiyari ana PhD na hakuwahi kuidefend Msc so kwa maana hiyo hana Masters! mwingine ninafanya nae kazi juzi tu amepata PhD yake na hakuwahi kusoma hiyo Masters, yaani moja kwa moja from Bachelor to PhD! Ila katika incidence zote hizi lazima nikiri kuwa PhD hizi zote hotolewa vyuo vya nje ya Tanzania, sijui kama hapa Bongo hili linawezekana!
Kati ya mimi na wewe nani ni bongolala aka popompoo? Wewe ndio popompoo! Mimi sio professor na wewe sio professor sasa nitajibu vipi njia za kuupata uprofessor wakati sio professor? Ndio maana nikamwambia amtafute Steven Ngonyani atamfafanulia njia za kupitia,au haujaelewe swali la muulizaji? Ameuliza Hivi
"Swali langu wana jf ni kwamba ni vigezo
gani hasa vya msingi hutumika kumpa
mtu uprofesa ni kugundua vitu au ni ni
ni ?
Ndio maana nikasema inategemea na nchi ( na labda kwa kuongeza, field pia - kuna fields nyingine, "terminal degree" sio PhD). Angalia nchi kama Iraq, kwa mfano ambapo unaweza kuwa Professor bila ya PhD. Kama nakumbuka vema, unaweza pia kuangalia CV ya (Associate) Professor Elias Jengo wa hapo UDSM.
Last edited by SMU; 16th August 2012 at 15:05.
"Rather than love, than money, than fame, give me truth" ----Thoreau
kingkong mimi ndo SAMITI aka mpigamsuli
mkuu King Kong III
mhe. Steven Ngonyani alikuwa mhadhiri wa chuo gani?
Follow Us Here