Re: Wahusika Katika shughuli nzima ya NECTA

By
Kilembwe
Jamani wana JF nauomba tuchangie mada hii kwa kumtazama mleta Thread kwa mapungufu yake na wala si uislam, mimi ni muislam na ninamshukuru Mungu ninaelimu nzuri tu tena sana na nimeipata katika mfumo huu huu, na hii iliwezekana tu kwa kufuata mafundisho ya Uislam kuwa "Itafuteni elimu hata kama ni Uchina"! So si kweli kuwa waislam wote tunamapungufu haya ni wachache tu ambao hawataki kushughulisha akili zao kufikiri na hao ndio wanaofanya UISLAM na WAISLAM tutukane kila wanapoleta mada zenye hoja za kitoto humu! hivi wameishajiuliza kwanini matokeo ya seminari ya kiislam ya Kilinjiko ni mazuri! au huyo Ndalichako hajui kama Kilinjiko ni seminari ya Kiislam? Tafadhali mleta mada hebu fanya homework yako kwanza kabla ya kuja kututukanisha hapa!
Mkuu umesahau kuwa Kilinjiko iko Kilimanjaro na sifa ya mkoa huo kiakili inajulikana, wamezoa kusoma kwa tabu na kutumia ufahamu kwa mambo ya kujiendeleza. Kule Kilimanjaro hakuna kudekea elimu, wao wanaitafuta kwa kuwa walishajua kupitia maneno ya Mungu kuwa "Ikamateni sana Elimu.....). Nyie Quran inasemaje kuhusu elimu dunia?
"Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"
Follow Us Here