Jamani hali ni tete kuna jamaaa ana II.10 kaomba Civil UDSM na ARDHI sasa hiyo competition yake ni nowma
UDSM ni 24xx aplicants While 18xx wako eligible na walio eligible na kuweka 1st choice ni kama 8xx while admission capacity ni 160,
sasa ARDHI ndo nisiongelee kabisaaaa sababu hali ni mbaya zaidi ya UDSM.
Walio omba UDOM wanauwezekano mkubwa wa kupata Nimeangalia kozi kama mining engineering kuna 465 applicants, 386 eligible, 163 1st choice na admission capacity ni 45
pia Petroleum engineering kuna 328 aplicants, 138 eligible, 6 1st choice na admission capacity ni 45. hapa mtaona jinsi gani UDOM ambavyo haipendwi but walio omba wana uwezekano mkubwa wa ku pata admission.
TUMUOMBE MUNGU JAMANI, hali ni TETE
Follow Us Here