kuna kozi moja ya sua inaitwa agro-economics and busness,jumla ya wanafunz walio aply ni 3391,ambao wako eligible ni 2896,walio iweka kama 1st choice ni 890.....kazi ipo hapo mwaka huu.
kuna kozi moja ya sua inaitwa agro-economics and busness,jumla ya wanafunz walio aply ni 3391,ambao wako eligible ni 2896,walio iweka kama 1st choice ni 890.....kazi ipo hapo mwaka huu.
Waache wafanye kazi kama wanavyoona wao......wala hutakiwi kuanza kujadili watafanyaje kwa sasa...Langu Jicho tu.......
VETERINARY MEDICINE YA SUA walio apply ni 1407,eligible ni 1181,1st choice ni 289,admission capacity ni 60,TUTAJIBEBA MWAKA HUU
daah kheri ningejaza ki2 cha DUCE..ila hakuna noma lets pray to God
Dah! Mimi nnaendelea kunipandishia presha tu!
Hivi hata kwa programs za education pia competition ni kubwa?
Jamani hali ni tete kuna jamaaa ana II.10 kaomba Civil UDSM na ARDHI sasa hiyo competition yake ni nowma
UDSM ni 24xx aplicants While 18xx wako eligible na walio eligible na kuweka 1st choice ni kama 8xx while admission capacity ni 160,
sasa ARDHI ndo nisiongelee kabisaaaa sababu hali ni mbaya zaidi ya UDSM.
Walio omba UDOM wanauwezekano mkubwa wa kupata Nimeangalia kozi kama mining engineering kuna 465 applicants, 386 eligible, 163 1st choice na admission capacity ni 45
pia Petroleum engineering kuna 328 aplicants, 138 eligible, 6 1st choice na admission capacity ni 45. hapa mtaona jinsi gani UDOM ambavyo haipendwi but walio omba wana uwezekano mkubwa wa ku pata admission.
TUMUOMBE MUNGU JAMANI, hali ni TETE
kazi kwelikweli sijui tutaponaje? ila hii ni kutokana na priority status ya loan ndo maana tunashoshona kwenye program zenye priority,wale wenzangu na mimi wa arts tusio na uwezo wa kujilipia kozi za nyingine kimbilio ni education ambayo madhara yake yatakuja kuonekana huko mbele kwenye ajira!
mwaka huu lazima watu wasome course za kiarabu....
WEWE kijana.. hujasalimika bado coz watu walio apply kama second choice nao watakuwa considered.. ni ivi kama mtu aliye apply 2nd choice hakuweza ku withstand competition.. atashushwa kwenye hiyo course yako ashindane na nyie mlioapply kama 1st choice... hivyo hivyo na kuendelea mpaka watu wote wapate course zao kwa vugezo sawa ambavyo ni SURVIVAL FOR THE FITTEST...
Follow Us Here