jamani wana jf iyo kozi nimeiomba hapo IFM vipi iyo kozi inalipa kwenye ajira? na ina salari ya ukweli? vp kujiajiri?
jamani wana jf iyo kozi nimeiomba hapo IFM vipi iyo kozi inalipa kwenye ajira? na ina salari ya ukweli? vp kujiajiri?
Yani wana jf mmenipotezea kabisaaa wakina vodka,stany vp mbn mpo kimya! Leten info za iyo kozi
we dogo kama unataka kusoma kwanza chagua course inayoipenda,bsc irm ya pale ifm si mbaya sababu hutolewa pale kwa tanzania nzima ,ila mm binasfi sikushauri kusoma maana kazi zake ni zakujuana sana kama una channel takula kwako!
kwa ifm accountacy is the best ,hizo zingine chai tu
kwa maoni yangu ni coz nzuri na watu wanafikiri ukisoma hiyo lazima ufanye kwenye makampuni ya insurance siku hizi hata commercial bank wanavitengo vya risk and assessment na bado nafasi kwenye kuajiriwa kwnye makambuni mengine tofauti na hayo bado ipo chance so we soma tu dogo ukisikiliza ya watu utachemka kila kazi siku hizi ni kujuana hakuna kazi ambayo unamaliza tu kesho unapata kazi labda usome u doctor na hata udoctor unapata ila wanakupeleka pande za mbali ambako we mwenyewe hupendi mpka ujuane na watu tena ndio wakupe sehemu nzuri, kila sehemu ni kujuana
Nimewahi kumpeleka ndugu yangu hapo..muulizie mwalimu Saqware atakusaidia infomation ni mwalimu wa insurance na social protection..anajua market ikoje..all the best.
"Mbowe for Presidency 2015""
HATA KWENYE MABENKI SI WANAAJIRI WATU BSC IRM ? BY mpigamsuli
vp ifm selection inakuaje wakuu
umenena kaka....
Follow Us Here