wana jf hii kozi ya procurement nimeichagua pale MUCCOBs na vip suala la ajira naweza pata ajira yenye mshahara mzuri!
wana jf hii kozi ya procurement nimeichagua pale MUCCOBs na vip suala la ajira naweza pata ajira yenye mshahara mzuri!
Kasome kwanza
We kapge shule dogo.
kumbuka muccobs hakuna kuuza sura shule kwenda mbele .soma ukimaliza ufanye mitihan ya bodi ndo uanze kuulizwa maswala ya mshahara
We gangamara 2 faulu inalipa kiasi chake
kaka stany mitihani ya bodi ndo ipi iyo plz
Nbaa au? Nikishaifanya ndo napata kazi au?
Kwani siwez kupata kazi bila kufanya iyo mitihani ya bodi?
Why dont you go for bcom pale udsm?
Nbaa au? Nikishaifanya ndo napata kazi au?
kasome kwanza dogo
Usiwaze kupata ajira uwe na mtazamo wa kujiajiri.
kiongozi masomo mengi cku hizi ukimaliza Degree ya kwanza itakubidi ufanye mitihan ambayo hutolewa na bodi husika kwa mfano wahasibu hufanya mitiani ya kuwa certify kama Public accountants ie certified public accountant cpa na mithan hii inatolewa na bodi ya nbaa.kadhalika na maafisa ugav4 hufanya mitian inayokuwa administered bod ya pspt.hii ni ili kufanya wanafunzi kutoka vyuo vyote wawe na standard yakufanana.
soma upate knowledge mtzamo wako ukiwa na fikra za kujiajiri na/kuajiri ajira iwe secondary objective.
kwani kaka ajira za ba-psm ,ni ishu?
VP KUHUSU KUBAKI HAPO MUCCOBs KAMA MWALIMU?
IYO PSPBT ndo nini?
Follow Us Here