Mimi ni muandishi wa vitabu vya Riwaya,Tamthilia na Ushair ninahitaj msaada wa udhamin wa kuchapa kitabu ambacho nimekiandaaa kitakachoitwa ''NYARAKA NYEUSI''
kama unaweza kutoa msaada huu nijulishe hapaha.

Wasiliana na Nyambare Chacha Nyangwine!
hvyo vngne nan alikudhamin
Niko siliasi wadau
unachotakiwa kufanya nitumie soft copy ya hicho kitabu kwenye PM nione ntakavyokusaidia
Ungenigaia contakt ingekuwa safi@lutayega.
Mbona hakuna uhusiano wa kichwa cha mada na mada husika..
Wewe kweli ni mwandishi 'mzuri' wa vitabu..!?
wasiliana na Mwanakijiji achana na Nyangwine sababu nahisi kitabu kinaigusa CCM kutokana na title
Dah! Changamoto ndio mbolea ya tabasamu langu,siwez kuzikwepa.kwa wanaoweza kunishauri wanishauri zaidi na wenye majungu endeleeni kunidiskalej maana bila nyinyi changamoto kwangu zitakosa virutubisho.
Follow Us Here