Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tehama mashuleni

    Report Post
    Results 1 to 5 of 5
    1. #1
      Maje Omary's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 20th June 2012
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Tehama mashuleni

      Teknolojia ya Habari na Mawsiliano katika shule zote za msingi na Sekondari ni somo muhimu sana kwa karne hii ya sayansi na teknolojia. Nionavyo mimi utekelezaji wa mpango huu hauna kasi yokutosha kukidhi mahitaji ya dunia ya sasa hasa kwa nchi yetu Tanzania.

      Katika pita pita yangu nimegundua kuwa TEHAMA imebakia katika nadharia tu kwani walimu wengi wanaofundisha somo hili hawana taaluma ya ICT na hivyo kinachofanyika ni kufundisha TEHAMA kwa nadharia tu iliyopo vitabuni hali inayomfanya mwanafunzi kutoelewa kinachoendelea darasani, anabakia kukariri misamiati migumu ya taaluma hii ili aweze kujibu maswali atakayoulizwa katika mtihani na siyo kumwandaa kwa kuitumia taaluma hii katika maishayake ya sasa na baadae.

      Huku nikuwaandaa wataalamu wa ainagani? Wito wangu kwa wadau wote wa elimu ni kuwa tuwe na vipaumbele katika kutekeleza programu muhimu za kitaaluma!! Ninaamini kuwa, mwalimu ndiye aliyepaswakupewa taaluma hii kabla ya mwanafunzi. Hali ilivyo sasa ni kuwa mwalimu na mwanafunzi wote wanafanana.

      Bado hatujachelewa tuwape mafunzo ya kutosha walimu wetu ili waweze kuitendea haki TEHAMA.
      Nawasilisha.


    2. #2
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : Tandhaniya
      Posts : 4,497
      Rep Power : 1291
      Likes Received
      1242
      Likes Given
      1267

      Default Re: Tehama mashuleni

      tanzani inapenda kukurupuka sana bila kujipanga...kulikua na umuhimu gani wa kuanzisha hili somo shule za msingi wakati hata vifaa hakuna??
      Computer mwalimu haijui mwanafunzi anayemfundisha ataijua??

    3. #3
      mansakankanmusa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2012
      Posts : 1,000
      Rep Power : 559
      Likes Received
      190
      Likes Given
      179

      Default Re: Tehama mashuleni

      unashauri wafundishe nini
      I only offer an opinion someone don't f**k with me . It's important to be a good listener, and that means you shut your mouth and let other jf member talk.

    4. #4
      BHULULU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2012
      Posts : 3,173
      Rep Power : 8415
      Likes Received
      903
      Likes Given
      740

      Default Re: Tehama mashuleni

      TEHAMA kwa Tanzania bado tunacheza sana tena sana.Changamoto ni nyingi sana(Nishati ya uhakika,wataalam,computer+Inte rnet).Walimu wamebaki kufundisha kwa kuchora ubaoni, kama lile tangazo la HAKI ELIMU......Hii ndiyo sipiyuu,sikirini,ukitaka kuzima........!Watoto wanachanganywa

    5. #5
      Aaron's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th November 2010
      Posts : 221
      Rep Power : 479
      Likes Received
      23
      Likes Given
      0

      Default Re: Tehama mashuleni

      asante sana mkuu kwa kuliona hili... juzi nilikuwa napiga story na mtoto m1 jirani ye2..nikawa namuuliza matokeo yake akasema amekuwa wa 18 kati ya 73.. nikamuuliza maswali gani yanamshinda akasema Maswali Ya KWELI au SIKWELI.. nikamuuliza somo gani akasema TEHAMA.. ni kamuuliza kwani tehama ni nini?? akacheka akasema hujui tehama Kuwa Ni AINA ZA SIMU?? dah nilibaki nashanga sana.. Mtoto yuko darasa la tatu..shule zetu za kayumba.. kazi ipo.


    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...