Nakumbuka mwaka 1995.chuo cha uhasibu wanachuo wote walifukuzwa na hawakurejeshwa tena chuoni .Nimebahatika kukutana na baadhi yao mfano aliyekuja kuwa rais wa Daruso komredi Julius Rugemalira.Wale wanachuo wengine mko wapi ?

Usinikumbushe hiyo kitu. Ilikuwaga kisiasa zaidi.
Mimi nimesoma DSA the TIA (kwa sasa) wakati naanza niliowakuta pale walitupa hii stori. je Julius ndie alikuwa anaitwa Freeman?
Follow Us Here