Wana jf kwa wale wanafunzi wa elimu ya juu wanaonufaika na bodi ya mikopo, mwisho wa ku update taarifa ni leo 30 June lakin cha kushangaza toka asubuhi website ya bodi haifunguki kabisa!
Tufanyeje? Hili limekaaje? Tushausiane wana jf

We ulikua wapi siku zote hizo?
Huo ni uzembe wako. Mods ondoweni hii kitu katika jukwaa la siasa
wanataka wengi mshindwe ku-update then wawa-disqualify mkopo...
Ng'wabheja
Follow Us Here