Kama kweli Walimu mna uchungu na maisha yenu, chonde chonde msiahirishe MGOMO kama ilivyo kawaida yenu kuahirisha kwa sababu ya kutishiwa na wanaojidai kuwa wenye nchi.Waigeni madaktari hakika mtafanikiwa.Solidarity forever..........!!!
Kama kweli Walimu mna uchungu na maisha yenu, chonde chonde msiahirishe MGOMO kama ilivyo kawaida yenu kuahirisha kwa sababu ya kutishiwa na wanaojidai kuwa wenye nchi.Waigeni madaktari hakika mtafanikiwa.Solidarity forever..........!!!
Mkoba lazima ahairishe Mgomo wa Walimu kwani anaogopa kilichomsibu ULIMBOKA.Ataogopa msemo wa PINDA wa 'LIWALO NA LIWE.
Yaani kitu kiko palepale
mgomo wa walimu upo palepale kaeni mkao wa kula, na liwalo na liwe ila walimu lazima tugome otherwise serikali ikubali madai yetu.
Sidhani kama wanaubavu km madaktari, Labda wangewahusisha walimu wa vyuo vikuu wangefanikiwa.Ugumu wa maisha walionao walimu vijijini na sehemu zingine ni kikwazo cha mgomo wao, wale wote wanaotarajia kustafu kutokana na umri hawapo tayari kugoma hilo walijue, Kuna ongezeko kubwa la wahitimu wa ualimu kutoka vyuo mbalimbali wanaohitaji ajira za ualimu na ambao wapo tayari kufanya kazi kwa mazingira yeyote yale, kwa hiyo waliopo wakigoma graduates wanachukua kazi. nauhakika asilima 80 walimu hawawezi kufanikiwa kwani sio wamoja.
yote yawezekana
Believe me and take my word, WAALIMU WA TANZANIA HAWAWEZI KUGOMA! kwanza hawasimami kama jamii moja, pili hawamaanishi wanachokiamua na kukisema!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
Ikifika tarehe 7, utasikia: WIALIMU WAMEGOMA KUGOMA.
Liwe na liwalo.
Hivi mbona wabunge hawagomi???
[QUOTE=MDAU JR;4146637]Huku wakiikumbuka kauli ya
"LIWALO NA LIWE" Kiongozi wa mgomo get prepared plse, MSITU WA PANDE
unakusubiri. ha ha haaa
Kwani wana umuhimu gani waalimu? Mbona ni takataka tu kwa JK na serikali yake. Kama katumia siasa kuwakandamiza Dr's itakuwa hawa washika chaki? Tena hakuna hata anayekufa? Na mkumbuke kauli moja ya serikali (ya aliyekuwa naibi waziri wa elimu Mwantum Mahiza) pale songea alipata kusema "nani aliwalazimisha kuja kuwa walimu? Si mgechagua kazi zingine!". Yaani salama ya walimu ni kusubiri 2015 wasaidie ukombozi kwa kihamasisha wapiga kura
Taja waalimu ni mafisi???????????? haya tunaish msitu gani na nani atulishaye mifupa? imeandikwa hivi mwanafunzi hakui kumzidi mwalimu wake mpaka na yeye amehitimu. so kama wewe ulikuwa mwanafunzi inamaana ulikuwa fisi ukafundishwa na fisi na sasa umehitimu hivyo umekua fisi kuliko fisi mwalim na kwa logic hii wewe ni fisi mkuu.
chezeya wote ila siyo waalimu.
"thought takes man out of servitude into freedom"
'daima tudumu katika upendo'
Hivi nyie watu chama cha vinega a.k.a. chadema huu uchochezi wa migomo unawasaidia nini?maana naona baada ya kuona watu hawawaungi mkono kwenye ile style yenu ya kususa na kuandamana sasa hivi ngumu mmeipeleka kwenye kuchochea migomo ambayo mwisho wa siku inawaumiza wananchi ambao baadae mnategemea kwenda kuwaomba kura na sio viongozi wa ccm,hapo ndipo mnapopeteza umaarufu kwa wananchi na ndipo ccm inapowashindia lakini bahati mbaya mko usingizini hamuishtukii hiyo na ccm wanawaacha muendelee kulala ili waendelee kutawala kirahisi
Follow Us Here