Naomba mnisaidie nijue jinsi ya kuomba vyuo vya ualimu ngazi ya diploma.
Naomba mnisaidie nijue jinsi ya kuomba vyuo vya ualimu ngazi ya diploma.
Unatakiwa uandike barua ya maombi wizara ya elimu na mafunzo nao watakupanga kwenye vyuo vyao vya serikali ,private omba chuoni moja kwa moja.
Ila nafiri serikalini walishaomba zaman hope d line imeshapita kama sijakosea.
omba tu. Watu huingia
Fungua United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training utaona tangazo lao lenye dedline na anwani ya posta. Muda ulishapita lakini wewe tuma tu wanaweza kukuchagua.
"Our party CCM, eventually became complacent, bureaucratic and corrupt. We had to change" Nyerere
Follow Us Here