Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Bajeti iliyowasilishwa haijali Maskini wa ukweli hata kidogo

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      Nelembe's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 18th June 2012
      Posts : 7
      Rep Power : 354
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Bajeti iliyowasilishwa haijali Maskini wa ukweli hata kidogo

      Wana JF; Binafsi nimesikitishwa sana na Bajiti ya Mheshimiwa Dokta......... ambayo haikuzingatia kuwa kuna watu ambao ni walalahoi pasee! Angalia inavyotaka kodi iongezwe kwenye mawasiliano (Simu) ambayo wapika Vitumbua, Mama Ntilie, Wamachinga nk wanamiliki Simu ambazo wamenunu za Mchina ili kuwasaidia katika kufanya biashara zao. Senti wanazopata watu hawa ni "Hand to Mouth", sasa watalazimika kulipia mawasiliano kwa gharama kubwa! Wanaochota Madini kule Shinyanga, Geita, Arusha nk, Bajeti ya Mheshimiwa haiwasumbui hata kwa Senti tano! Wafanya biashara wanaopata hadi Shilingi Millioni tatu (3,000,000/=), Bajeti ya Dokta haiwasumbui, acha wapumuzike! Mfanyakazi mwenye Mshara unaofikia Millioni Mbili, PAYE anayotozwa kila mwezi ni zaidi ya Laki Sita! Jamani mimi nalazimika kukubaliana na wazo la Mstahiki Meya wa Jiji kubwa hapa Tanzania aliposema wengine labda wanafikiria kwa kutumia "Makalio"! Wana JF; tafakali, chukua hatua!


    2. #2
      doup's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2009
      Location : N/A
      Posts : 697
      Rep Power : 664
      Likes Received
      53
      Likes Given
      43

      Default Re: Bajeti iliyowasilishwa haijali Maskini wa ukweli hata kidogo

      ccm wameanza sarakasi, R.Ndansa anaunga mkono 100% budget, lakini analalamika bei ya pamba, matumizi hewa, miradi ya mabilioni imekuwa kama vichochoro za pesa kupitia, anafannanisha takukuru na vinyago vya kwenye majaruba, ndege wanakuja watua kwenye mabega kama hakitikisiki wanaanza kula mpunga.

      pia anaponda usalama wa taifa.

      Ajabu kweli, utaungaje mkono 100% arafu unalalamika zaidi ya 90%. aibu tupu
      Arusha ni mwanga wa TUMAINI jipya

    3. #3
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : Tandhaniya
      Posts : 4,497
      Rep Power : 1291
      Likes Received
      1242
      Likes Given
      1267

      Default Re: Bajeti iliyowasilishwa haijali Maskini wa ukweli hata kidogo

      hi ndio bongo falsafa ya mwenye nacho ataongezewa na asiye nacho hata kile kidogo atanyang'anywa naanza kuiona ikifanya kazi

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...