Re: Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!! Lap top!!!!
Mimi nakushauri wazi uuze kwa wenye ujuzi wa kuitumia upate zako mtaji ukafanye kitu unachokimudu zaidi kukuingizia hela.Hata kama utaihitaji baadae ukishapata ujuzi basi ukanunue baada ya kuwa umetengeneza hela yako nzuri na umekuwa na msimamo wa kimaisha.Kuna rafiki yangu alipewa gari na mzungu akaja kuniomba Ushauri alifanyeje kwani hata pahala pa kulipark ulikuwa mgogoro.Baada ya kufuata Ushauri Kama huo japo juu sasa hivi amejenga numba yake na amenunua magari kasha a moja kama Lille lile,Alikuja kunishukuru sana. Na akanifanya best man wake alipooa.Leo hivi ana kampuni ya kuuza magari.Tangu 1998.
"Thinking is the hardest work there is,
which is probably the reason so few engage in it.”
Follow Us Here