Hivi km umeaply tcu na haujaaply vyuo vingine na ikitokea hujachaguliwa utafanya nini wakati muda wa kutuma maombi ktk vyuo vingine utakuwa umekwisha,,,,
Hivi km umeaply tcu na haujaaply vyuo vingine na ikitokea hujachaguliwa utafanya nini wakati muda wa kutuma maombi ktk vyuo vingine utakuwa umekwisha,,,,
Ndo maana unashauriwa,kama matokeo yako hayana mwelekeo,ujaribu kuapply na vyuo vya diploma.
Ts true utafute 2 direct entry for diploma kma hapa university of arusha wameshaanza kupokea diploma student hvyo ucjal unaweza pata kma huna uhakika jiende 2 diploma
[QUOTE=The_Emperor;4049452]kwani umepata div3 ya points ngapi?kama umepata 3 ya 16
there z always NEXT year
itabidi uvumilie hadi mwakani. mia
nakata rufaaa
Follow Us Here