Nataka kuunga master nipate na sponser,nifanyeje?
Nataka kuunga master nipate na sponser,nifanyeje?
fanyakazi kwanza
Tafuta kazi kwanza wewe ndo uje baadae na hayo mawazo.Au unatoka familia ya kifisadi nini
Hayo co majibu
"ACHA KAZI UONE ILIVYO KAZI KUPATA KAZI"
"MTAANI"
Unashindana na nani?
Swali ni kwamba nimeomba ushauri kwamba nisome mastarz or nisisome...nimesema nifanyeje ili nipate master na sponser..napenda ushaur wote uegemee pande izo
Acha ulimbukeni kijana piga kazi kwanza........
Don't stick on my mistake, stick on what am bringing on the Table.
Atleast 2 yrs
Follow Us Here