Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ubaguzi wa kidini umebainika

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 46
    1. #1
      Etairo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th January 2012
      Posts : 234
      Rep Power : 417
      Likes Received
      42
      Likes Given
      104

      Default Ubaguzi wa kidini umebainika

      Nachukua fursa hii kuwahabarisha wana wa adamu hususani wakristo kuwa yaliyobainika NECTA kupitia matokeo ya somo la IslamicKnowledge kwa kidato cha sita ni dalili tosha kuwa yaliyodaiwa na waislam kwa muda mrefu ni sahihi kabisa. Kuna dhuluma ya kidini. Iwapo tunashawishika kukubali kuwa kikokoteo (calculator) ya kawaida inatoa majibu tofauti na ile ya kompyuta, basi hatuna madaktari isipokuwa ni feki. Dr. Ndalichako (NECTA) na Kawambwa (WyEMU) wanaoona kilichosabbaisha hayo ni matumizi ya vifaa hivyo viwili, je kipi ni sahihi kutumika? Iweje mpaka leo kwa idadi kubwa ya wanafunzi tutumie calculator kujumulisha alama za wanafunzi ilihali excel ipo kwenye kompyuta kurahisisha hayo.
      Umefika wakati tuacha kudaganya mchana kweupe kana kwamba hakuna watu wanaojua matumizi ya vifaa hivyo. Ulimwengu wa JK Nyerere umepita wa kudanganya wengine.

      Ikiwa kweli NECTA imegundua makosa kwenye somo hilo kwa nini haikutamka kuomba radhi na kuujulisha umma kuhusu dosari hiyo mpaka wasubiri waislam watamke kuandamana?

      Nchi hii ni yetu sote, tunatakiwa tuishi kwa wema kabisa, lkn hali hii ikiendelea uvumilivu utawashinda watu na kuanza kutafuta mchawi, Hebu acheni, tendeni haki na matokeo yake ni amani sahihi.
      Ili liwe fundisho, mengine ya dhuluma yanayofanyika yaachwe ili kujenga jamii yenye ustawi sawa ambapo kila mwenye kujitahidi ataona manufaa yake, na si vinginevyo

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Eng. Y. Bihagaze's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 8th September 2011
      Location : Czech(but now in DAR)
      Posts : 769
      Rep Power : 5117
      Likes Received
      584
      Likes Given
      111

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      1. Ngiii.. Ngrii 'hallow!! Hallow "

      2. " Naam, naam Sh.. vipi "

      1. "Maandamano tunaanza sasa wewe uko wapi Sh.. "

      2. "ee.. eer.. samahani .. "

      1. "Samahani kitu gani Sh..watu ndivyo tunataka kuanza maandamano kuelekea kidongo chekundu weye unaleta uswahiba gani tena, na weye ndiye kinara wa shughuli hii kwenye mtaa wetu Sh.."

      2. "Sawa Sh...., ila unajua ,mimi nina pesa ya kulipia fuso hapa kuwasomba watu wa mtaa kwenda jangwani kwenye mkutano wa ccm, mafulana na mikanga shapewa Sh.., .."

      1. " Achana na mambo ya Chama Sh.. weye njoo tupiganie haki za watoto wetu weye'

      2. " Ndio Sh...ila pesa nayo tam.. kwa leo mniswamehe labda siku nyingine.. kwaheri"

      Salma2015; " sasa kwanini mnawachochea watu kisha nyie wenyewe mnakuwa mstari wa nyuma kabisa"

      2. " Kwani mabomu ya Polisi weye huyafaham"

      Salma2015; "Sasa kama mnaogopa mabomu kwanini kuchochea ghasia "

      2. "Unajua Tuseme nini Kuna watu serikalini ambao wanazua na kuongoza vuguvugu hizi za machafuko, unajua hii serikali ni kama ina nuksani flan, huko huko wanatuambia tuchochee hili, na hao hao wanatupiga tena mabomu sisi hata hatujui wana maana gani. Machafuko ya Zanzibar, chokochoko zilianzia humo humo serikalini, sisi tunakuwa watu wa kuletewa tu na sisi tunapandwa na jazba. kwani sisi tungejuaje siri kwamba zanzibar kuna vitalu vya mafuta, unajua toka 2002 ilishagundulika kwamba vitalu vipo na wawekezaji wameshajitokeza, ila hatukujua lolote hadi miaka hii miwili ndipo siri zinavuja toka huko huko serikalini. sasa kama hili la NECTA, hata kama huyo Ndalichako ataondolewa kwani yeye ndiye anayesahihisha mitihani?, kwani yeye ndiye anayetunga miongozo na mitaala ya elimu, labda tungesema waziri aondolewe.. aaaah ! chuki tu za watu na chokochoko.. Inshallah! mwenyezi Mungu atamnusuru mwanamke wa watu huyu.. "
      Gamaha likes this.
      Pathologically.."women must bear all loves" ..Atheisms .

    4. #22
      mabadilikosasa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 23rd December 2010
      Posts : 239
      Rep Power : 474
      Likes Received
      35
      Likes Given
      0

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      waslam ni watu wanaoishi kwa hisia tuu. kila kitu wanaona wao wanaonewa. hawana tofauti wa walemavu. kosa linaweza kutokea lakini, sii lazima kwa hila kwa sababu yupo mkristo.wakriso nao wanandamane kupinga hila za waislamu dhidi ya wakristo. Sii vema kumshutumu Dr. Ndalichako kwa msingi ya udini. Nchi haina dini. Hiyo mitihani ya dini mnapeleka necta kufanya nini. sii mmalizene huko mpeane A za kiarabu, kama chuo cheni cha morogoro

    5. #23
      mabadilikosasa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 23rd December 2010
      Posts : 239
      Rep Power : 474
      Likes Received
      35
      Likes Given
      0

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      kama wanataka Dr. ndalichako ajiuzu kwa sababu ni mkristo, ili ampishe muislamu, then JK na Bilal nao wajiuzulu. wakristo nao waandamana, wakishinikiza waislam waache ubaguzi wa kidini dhidi ya watanzania

    6. #24
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By joely
      naomba kujua kama mtu asipofaulu vizuri masomo yake ya combination , ila akapata "a" ya dini anaweza kwenda chuo kikukuu kwa mgongo wa dini?
      umefungwa na mifumo ya TCU????tembelea mitandao ya vyuo mbalimbali hapa duniani,,,,utapata majibu

    7. #25
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By mabadilikosasa
      waslam ni watu wanaoishi kwa hisia tuu. kila kitu wanaona wao wanaonewa. hawana tofauti wa walemavu. kosa linaweza kutokea lakini, sii lazima kwa hila kwa sababu yupo mkristo.wakriso nao wanandamane kupinga hila za waislamu dhidi ya wakristo. Sii vema kumshutumu Dr. Ndalichako kwa msingi ya udini. Nchi haina dini. Hiyo mitihani ya dini mnapeleka necta kufanya nini. sii mmalizene huko mpeane A za kiarabu, kama chuo cheni cha morogoro
      NECTA huwa inafanyika mitihan ya dini moja?????

    8. Miaka 50

    9. #26
      The_Emperor's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2012
      Posts : 472
      Rep Power : 455
      Likes Received
      41
      Likes Given
      0

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      yaliyopita,yamepita,tugange yajayo

    10. #27
      sirmudy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th May 2010
      Posts : 241
      Rep Power : 507
      Likes Received
      30
      Likes Given
      114

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      Quote By Mkirua
      Sijui mkimaliza hili mtahamia wapi au ndo mtaanza kujilipua wenyewe??

      Kwenye ukweli ni lazima pasemeke ukweli.. ni kweli wamekosea na ni lazima wawajibishwe.. kwa mtu mwenye fikra zake nzuri hawezi akaandika kama ulichikiandika wewe......, ulitegemea nn kama wangefanyiwa watu wa dini nyingine...? hv kama maksi za bible knowledge zingekosewa wakristo wasingelalamika.....?

    11. #28
      ITEGAMATWI's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 26th January 2012
      Posts : 1,672
      Rep Power : 0
      Likes Received
      424
      Likes Given
      828

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      Tuache ushabiki wa kidini,kusema na ukweli kwa kosa kama hili kila anayehusika anapaswa kuwajibishwa.Kibaya zaidi kauli ya kuomba radhi na kufanya marekebisho imefuatia baada ya malalamiko so kama yasingetokea malalamiko mambo yangeisha hivi hivi.Kwa kosa hili mtu muungwana anakaa pembeni tu hata kama ni bahati mbaya!

    12. #29
      Daudi Mchambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 6,190
      Rep Power : 1954
      Likes Received
      2996
      Likes Given
      13635

      Default

      Nimeyaona hayo matokeo pamoja na kufanyiwa marekebisho yako hivi:
      F
      F
      F
      F
      F
      F
      S
      F

      F
      F
      F
      F
      E
      E
      F
      F
      F
      C
      C
      C
      E
      F
      F
      F
      F
      B
      F
      E
      B
      F
      F
      F
      F
      F
      A
      F
      F
      F
      F
      F
      Sasa huko madrasa sijui huwa wanajifunza nini.
      sweke34 likes this.

    13. #30
      baraka boki's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 20th September 2010
      Posts : 171
      Rep Power : 474
      Likes Received
      9
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By Etairo
      Nachukua fursa hii kuwahabarisha wana wa adamu hususani wakristo kuwa yaliyobainika NECTA kupitia matokeo ya somo la IslamicKnowledge kwa kidato cha sita ni dalili tosha kuwa yaliyodaiwa na waislam kwa muda mrefu ni sahihi kabisa. Kuna dhuluma ya kidini. Iwapo tunashawishika kukubali kuwa kikokoteo (calculator) ya kawaida inatoa majibu tofauti na ile ya kompyuta, basi hatuna madaktari isipokuwa ni feki. Dr. Ndalichako (NECTA) na Kawambwa (WyEMU) wanaoona kilichosabbaisha hayo ni matumizi ya vifaa hivyo viwili, je kipi ni sahihi kutumika? Iweje mpaka leo kwa idadi kubwa ya wanafunzi tutumie calculator kujumulisha alama za wanafunzi ilihali excel ipo kwenye kompyuta kurahisisha hayo.
      Umefika wakati tuacha kudaganya mchana kweupe kana kwamba hakuna watu wanaojua matumizi ya vifaa hivyo. Ulimwengu wa JK Nyerere umepita wa kudanganya wengine.

      Ikiwa kweli NECTA imegundua makosa kwenye somo hilo kwa nini haikutamka kuomba radhi na kuujulisha umma kuhusu dosari hiyo mpaka wasubiri waislam watamke kuandamana?

      Nchi hii ni yetu sote, tunatakiwa tuishi kwa wema kabisa, lkn hali hii ikiendelea uvumilivu utawashinda watu na kuanza kutafuta mchawi, Hebu acheni, tendeni haki na matokeo yake ni amani sahihi.
      Ili liwe fundisho, mengine ya dhuluma yanayofanyika yaachwe ili kujenga jamii yenye ustawi sawa ambapo kila mwenye kujitahidi ataona manufaa yake, na si vinginevyo
      Kufeli mnafeli wenyewe alafu mnasingizia baraza la mtiani

      Baraka Boki (MEng, MBA from Duke university)

    14. #31
      fered mbataa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th February 2012
      Posts : 240
      Rep Power : 414
      Likes Received
      34
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By joely
      naomba kujua kama mtu asipofaulu vizuri masomo yake ya combination , ila akapata "a" ya dini anaweza kwenda chuo kikukuu kwa mgongo wa dini?
      Huwendi chuo na A ya dini labda moslem university

    15. #32
      joely's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 320
      Rep Power : 498
      Likes Received
      84
      Likes Given
      15

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      Quote By bajabiri
      umefungwa na mifumo ya tcu????tembelea mitandao ya vyuo mbalimbali hapa duniani,,,,utapata majibu

      kwa hiyo huko duniani wanasoma kozi gani za manufaa kwa taifa lisilokuwa na dini, au huko dunian wanasomea ualimu wa madrasa na sunday school.
      NAIPINGA CCM SI KWA SABABU NAICHUKIA BALI KWA SABABU NATAKA KUFAIDI NEEMA ZILIZOWEKWA NA MUNGU KATIKA TANZANIA YETU.

    16. #33
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,421
      Rep Power : 1036
      Likes Received
      1173
      Likes Given
      599

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      Quote By joely
      naomba kujua kama mtu asipofaulu vizuri masomo yake ya combination , ila akapata "a" ya dini anaweza kwenda chuo kikukuu kwa mgongo wa dini?
      Pale kwenye chuo cha kiislamu morogoro nadhani everything is possible...pale kwenye majengo ya kuazima
      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    17. #34
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,731
      Rep Power : 10178
      Likes Received
      5675
      Likes Given
      12666

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      Quote By CHUAKACHARA
      Wewe una lako and you are a fundamentalist Moslem, I can guess! Sababu zilizotolewa siyo hizo unazozisema, it was not a mathematical calculator against a computer mathematical programme. dadisi zaidi utapata ukweli.
      kapewa stori za kahawa
      JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

    18. #35
      njiwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2009
      Location : ax^2+bx+c=0
      Posts : 4,955
      Rep Power : 2369
      Likes Received
      959
      Likes Given
      172

      Default

      Quote By Mkirua
      Wewe ulifanya huo mtihani?? Mbona waliofanya pamoja na walimu wao walikwishaelewa na wameshamalizana siku nyingi?? Vilaza wa nchii hii shida sana kudeal nao.
      Unajaribu kuongea nini..? Hueleweki... kwani hakukuwa na makosa ambayo necta wamekiri?

    19. #36
      Mbozib's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2012
      Posts : 358
      Rep Power : 430
      Likes Received
      43
      Likes Given
      5

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      Naona sasa tunalazimishwa kuingia kwenye vita vya udini . Serikali ifutilie mbali hii mitihani ya dini.

    20. #37
      Sideeq's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th December 2009
      Posts : 1,599
      Rep Power : 799
      Likes Received
      213
      Likes Given
      0

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      Quote By Etairo
      Nchi hii ni yetu sote, tunatakiwa tuishi kwa wema kabisa, lkn hali hii ikiendelea uvumilivu utawashinda watu na kuanza kutafuta mchawi, Hebu acheni, tendeni haki na matokeo yake ni amani sahihi.
      Ili liwe fundisho, mengine ya dhuluma yanayofanyika yaachwe ili kujenga jamii yenye ustawi sawa ambapo kila mwenye
      kujitahidi ataona manufaa yake, na si vinginevyo
      Watakusikiliza?
      Quote By Mkirua
      Sijui mkimaliza hili mtahamia wapi ....??
      Wizara ya ardhi

    21. #38
      Mkirua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Posts : 3,421
      Rep Power : 1036
      Likes Received
      1173
      Likes Given
      599

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      Quote By njiwa
      Unajaribu kuongea nini..? Hueleweki... kwani hakukuwa na makosa ambayo necta wamekiri?
      Ukilaza wako ndio unaokusumbua. Vua blanketi la udini lililokufunika uweze kujudge mambo objectively.
      The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!

    22. #39
      MNYISANZU's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 6,311
      Rep Power : 0
      Likes Received
      593
      Likes Given
      76

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      Soma signature yangu hapa chini, inalo jibu.

    23. #40
      njiwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2009
      Location : ax^2+bx+c=0
      Posts : 4,955
      Rep Power : 2369
      Likes Received
      959
      Likes Given
      172

      Default Re: Ubaguzi wa kidini umebainika

      Quote By Mkirua
      Ukilaza wako ndio unaokusumbua. Vua blanketi la udini lililokufunika uweze kujudge mambo objectively.
      hahahaha.. eti mi kilaza...What a cocky twat. btw mi nawewe na mdini .. jiangalie kwenye kioo ndio uongee hayo maneno..
      Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
      My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...