Jipatie matokeo ya mtihani wa Form six 2007 hapa
http://www.tanedu.org/acsee_results2.asp
Kwa uchambuzi wangu wa haraka haraka shule za Wasichana bado zinapeta!
Jipatie matokeo ya mtihani wa Form six 2007 hapa
http://www.tanedu.org/acsee_results2.asp
Kwa uchambuzi wangu wa haraka haraka shule za Wasichana bado zinapeta!
Last edited by Mwendapole Old; 3rd May 2007 at 16:20.
And this link will take you directly to the Results too:
http://www.moe.go.tz/NectaResults/MA...007/alevel.htm
Iringa yaongoza katika mtihani wa Kidato cha sita.
http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/.../04/89770.html
Hii imeondoa ule mtiririko uliosemewa sana mahala fulani humu kuwa shule za mkoa fulani huwa zinaongoza. This could be a good sign that every corner of the country is waking up
Wasiwasi wangu ni muda mrefu unaochukuliwa na NECTA kabla hawajatoa matokeo. Matokeo ya A-level kutoka May ni kuchelewa sana. Kwa sasa, vyuo vikuu vingi vinavyoanza mwaka wa masomo Septemba vimeshafunga kupokea maombi ya mwaka huu.
Cambrige wanatahini wanfunzi wa A-level toka shule zaidi ya elfu 20 duniani kote, na wanatoa majibu miezi miwili tu baadaye. Kwa nini NECTA wanaotahini chini ya shule elfu moja washindwe kutoa majibu mwezi mmoja baadaye?
Lazima mfumo ubadilike, mitihani ya kidato cha sita ifanyike Novemba, na matokeo yapatikane January.
Sasa taifa limejenga shule nyingi (nadhani zaidi ya 300) za sekondari mwaka huu. Huko tuendako, shule zenye kidato cha sita zitakuwa zaidi ya elfu moja. NECTA wanajitayarishaje kukabiliana na ongezeko hilo?
Augustine Moshi
Na huu ubakie kuwa ushindani kati ya shule, sio kati ya mikoa au wilaya. Kuna faida (tena kubwa sana, katika kushindanisha shule). Hakuna faida kushindanisha mikoa kwani haina impact kwenye kufaulisha shule za sekondari.
NECTA iendelee kuorodhesha shule kumi bora, shule hamsini bora, wanafunzi kumi bora na wanafunzi 50 bora. Itupe vile vile orodha ya shule zilizofanya vibaya. Kwenye Elimu ya Sekondari, NECTA iache kushindanisha vijiji, wilaya au mikoa, kwani hakuna faida yoyote kufanya hivyo.
Augustine Moshi
Last edited by Augustine Moshi; 7th May 2007 at 07:25.
Follow Us Here