Ni vizuri NECTA ikatoa ufafanuzi kuondoa mkanganyiko na tuhuma za waislam kwamba somo la islamic k,ledge matokeo yake kwa F6 kwamba yamechakachuliwa ili kuondoa dhana ya gonjwa hili baya la udini linaloelekea kuitafuna TZ hivi sasa.
Ni vizuri NECTA ikatoa ufafanuzi kuondoa mkanganyiko na tuhuma za waislam kwamba somo la islamic k,ledge matokeo yake kwa F6 kwamba yamechakachuliwa ili kuondoa dhana ya gonjwa hili baya la udini linaloelekea kuitafuna TZ hivi sasa.
Citizen ya leo ina ufafanuzi. kifupi ni kosa la kiufundi ambapo mwaka huu somo hilo lilikuwa na paper 2 badala ya 3 za mwaka jana. program haikubadilishwa na ilitumia factor ya mwaka jana (3) kukokotoa alama za mwisho badala ya (2) ili kuendana na paper za mwaka huuBy Michael
Mwakyusa;4000142
Last edited by kookolikoo; 5th June 2012 at 22:08.
Ivi islamic knowledge inamwongezea nin mwanafunz,maana nijuavyo haina msaada wowote ktk kuhesabu cut off points!
Wakati mwingine watu wako sensitive kabla ya kujua kwa undani nini/wapi kulikuwa na makosa.
"The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".
Nadhani mtu mwenye busara huwa hajibu kila tuhuma, hizi tuhuma za kujinga wala hazipaswi kujibiwa. Washaurini hao watu wafuate muhtasari wa kufundishia na kufuata vigezo vya kufundishia ikiwemo kuajiri waalimu wanaofaa na wenye vigezo kielimu na si kwa imani. Kujibu tuhuma kwa ajili ya kuwaridhisha watu wala siyo tiba. Watu kama hawa wamejiandaa kulalamika so hata ungewapa wasahihihishe mtihani wao wenyewe watalalamika tu!!!!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
acha ujinga wewe.! Somo la dini litakupeleka wapi? Au wataka upate banda/msonge (A) Ili uonekane ulipata division 1 or 2 ila mwisho wa siku hulambi chuo so u need to thnk twice..afu kama kawaida shule zote za kiislamu ni zero tu nothn to gain there mtakalia majungu tu na mwisho wa siku mtakua wa MWISHO tu..mnaboa sana so ndugu zangu MJIPANGEEEE.! Ni hayo 2 kwa leo
Hawa wenzetu kwa kukomaa na ishu ndoooogo heeee,haya hayo madufu mtapiga sa ngapi sasa?tutakuwa tunasaishia paper msikitini sasa!
Necta nao watakuwa mafala sana kama kuna kosa hilo walikuwa wapi siku zote kurekebisha kasoro hizo? Ingawa ukipata A kwenye Islamic Knowlwdge huendo kokote.
Haya makosa kama haya yanapotokea ni hasara kwa nani?
Waislam walalamikie kufeli BIOLOGY, CHEMISTRY, PHYSICS, ADV.MATH, GEOGRAPHY, ENGLISH NA KISWAHILI sio Islamic Knowledge, sasa kama hujui upewe kisa we mwislam? Hebu toeni takwimu za ufaulu wa masomo yenye tija. Mengine mtajadili mkifika kwenye nyumba za dini sio kulalamika tu. Haya wawape "A" halafu masomo yatakayowapeleka UDSM, MKWAWA, IFM, MZUMBE, MUHAS, CoET, TIA, CBE, UDOM na vinginevyo wana "F". Hizo A watabandika vyumbani mwa ka mapambo au? Ukiwa makini uatafaulu masomo yote na si kutegemea somo moja, ukifeli unaliiiiiiiiiiiiiiaaaaaaaaaaaa aa coz we kilaza fresh.
Follow Us Here