why kwaniin hili somo wa2 weng sana wanalichukia
why kwaniin hili somo wa2 weng sana wanalichukia
OK,
Je 3.142 x 7 = 22/7 x 7??, jibu unalo.
Ndio ujue hata hao wanaohubiri PAI (π) hawajui maana yake.
Wakati Primary na Secondary wanahubiri π=22/7,
Vyuoni wanahubiri hiyohiyo π=Profit,
At maximum Profit, d(q)/d(π) = 0
While π = Total Revenue-Total Cost.
Ha ha ha ha!!!
Kuna mpaka siku ya PAI duniani lakin watu bado wagumu kuielewa!!
Mathematics bhana unaweza changanyikiwa mpaka ukakoma kuringa
eti wana tuambia
AxB=ABNi SAWA
alafu eti
2x3=23WANAKATAA.
UNATEGEMEA SOMO LIWE RAHISI KWELI HAPO???
Mambo ya "tafuta X" wakati tayari iko ubaoni nani anayataka??
[Ignorance to Mathematics will keep on costing our life, all we have is mathematics, all we do is mathematics and MBAGAGALA EXPLOSION WAS MATHEMATICS]
rip mathematics
Mfumo wetu ni wa kisiasa HESABU haijapewa kipaumbele tokea kindergarten mpaka university, ktk nchi za wenzetu
mwanafunzi anaandaliwa tokea udogoni kwa kupewa vifaa vya kuchezea vinavyomuaandaa katika ulimwengu wa kihesabu lkn sisi waTZ tunajifunza HESABU kama siasa kwa kukariri kanuni bila practical na msisitizo wa matumizi yake katika maisha ya kawaida. Mchawi ni mfumo wa mtaala wenyewe ulivyo andaliwa na si wanafunzi wala walimu.
Kuna mpaka siku ya PAI duniani lakin watu bado wagumu kuielewa!![/QUOTE]
Bila shaka ni tarehe 14 mwezi wa 3.
Jamani hesabu nimezipenda tangu utotoni wow A+++ student forever hadi najisikia raha.
jisome tabia, jibadili ikiwa duh na raha utapata sana tu.
inategemea na mwalim coz me mwenyewe nlikuwa naichukia hesabu toka shule ya msing mpk form 3 but kufka form 4 nkakutana na mwalim anayejua kufundsha nkaipenda mwenywe na form 4 nkatoka na B.
Follow Us Here