Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

    Report Post
    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 21 to 40 of 67
    1. #1
      Muttaline's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 40
      Rep Power : 365
      Likes Received
      5
      Likes Given
      56

      Thumbs up Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      Baada ya wakuu wa shule za kiislamu kumuandikia katibu mkuu-Elimu wakilalamika kwa wanafunzi wao kudhulumiwa somo la Islamic knowledge, NECTA wametoa matokeo mapya wakiwapa haki zao watoto hawa wa kiislam. mfano shule ya UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOO matokeo ya kwanza yalikuwa hivi DIV-I = 1 DIV-II = 11 DIV-III = 54 DIV-IV = 12 FLD = 3 ya sasa ni DIV-I = 4 DIV-II = 24 DIV-III = 47 DIV-IV = 5 FLD = 1. Sasa kwa matokeo haya napata maswali:
      1. Haya matokeo kwa nini yaliminywa mwanzo? kuna nini hapa?
      2. Hivi kama waliweza kuchakachua somo hili walishindwa kweli kuchakachua na masomo mengine?
      3. Hivi NECTA wanaweza kuuambia nini ummah kuuaminisha kama wanatenda uadilifu katika mchakato wa kutangaza matokeo?
      4. Hivi Dk Ndalichako na timu yako mnahisi kwa kukubali kutoa matokeo mengine ndo mmemaliza tatizo? me nahisi ndo mmeazisha vita..
      5. Nimetoa sample ya shule moja... vipi kwa matokeo ya shule zote za kiislam watoto walikuwa wamedhulumiwa kwa kiasi gani?

      NB: napata furaha kwa sababu nauona mwisho wako Ndalichako na timu yako.
      A gentle hand may lead even an elephant by a single hair.

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      Hii ni kashfa kubwa sana kwa NECTA, Jee, Bible studies nayo wameifanyia hivi?

      Hatozidishiwa mwenye kudhulumu ila hasara.
      Last edited by zomba; 2nd June 2012 at 00:15.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    4. #22
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,636
      Rep Power : 10159
      Likes Received
      5646
      Likes Given
      12664

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      piganeni basi hivi kwa kutumia akili kuvunja muungano sio kuchoma makanisa
      JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

    5. #23
      Muttaline's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 40
      Rep Power : 365
      Likes Received
      5
      Likes Given
      56

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      ....ili kuwabeba hawa wasiokuwa na uwezo darasani... unatumia kigezo gani mkuu kumtambua mtu mwenye uwezo mkubwa darasani???
      A gentle hand may lead even an elephant by a single hair.

    6. #24
      Muttaline's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 40
      Rep Power : 365
      Likes Received
      5
      Likes Given
      56

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      Hiyo Bible studies ilitoka kama ilivyo.. ndio chanzo cha malalamiko yao, walitaka wapewe kigezo gani kilitumika kwa somo la islamic kwa kuwanyima watoto A, B na C zao.. huku wakitoa A,B na C kwa somo la Bible knowledge
      zomba likes this.
      A gentle hand may lead even an elephant by a single hair.

    7. #25
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      Quote By Saint Ivuga
      piganeni basi hivi kwa kutumia akili kuvunja muungano sio kuchoma makanisa
      Hapa kuna mada ya Muungano?
      Muttaline likes this.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    8. Miaka 50

    9. #26
      Zinedine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2011
      Posts : 491
      Rep Power : 509
      Likes Received
      175
      Likes Given
      233

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      Quote By The_Emperor
      HUU MJADALA WA UDINI TU,HAKUNA JIPYA HAPA!HIVI KWA NINI WAISLAMU NI WATU WA KUJIONA 'Superior' KULIKO WAUMINI WA DINI NYINGINE?HIVI HUWA MNAFUNDISHWA CHUKI TU HUKO MISIKITINI?AU MNATAKA KUANZISHA 'jihad'?MMEKUWA WATU WA KULALAMIKA TU KAMA WATOTO WADOGO!
      Elimu yako haikukusaidia hata kidogo! Katika hali ya kawaida, mtu yeyote mwenye ufahamu na elimu iliyemsaidia atakayesikia suala hili; kwanza atatafuta authenticity ya habari hii; na iwapo atagundua kwamba ni kweli-bac atashtushwa saaaaaana na habari ya namna hii. Hakuna namna yoyote ya kubadilisha passmark za mtu baada ya kufanya mtihani na matokeo kutolewa isipokuwa ikiwa huyo mtu amefanya tena mtihani na ukasahihishwa tena, si vinginevyo. Binafsi siamini utaratibu wa rufaa wa NECTA na iwapo ingelinitokea huko nyuma kupata matokeo yasiyoridhisha nisingelikata rufaa(namshukuru M/Mungu sijawahi kupata tofauti na matarajia yangu). If 2x3=6; and a student calculated wrongly as 2x3=4, which is totally wrong; how then it can be changed from wrong answer to right answer without re-calculating by the student him/herself? Halafu wee unaona ni sawa tu??? Ni udini au ujinga sasa. Na ikiwa matokeo yamebadilishwa kwa political motives, bac tatizo tulilonalo huko NECTA ni kubwa zaidi; ikiwa siasa imeweza, vipi nafsi/kujuanazation ikashindwa? Na ni wangapi leo hii ni madaktari kwa marks za political memo!
      Re-think then come again
      Muttaline likes this.

    10. #27
      king roja's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th May 2012
      Posts : 142
      Rep Power : 383
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      kweli wameyachakachua coz hamamn two ilikuwaj 1 tu but now 6

    11. #28
      Kindimbajuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th July 2009
      Posts : 685
      Rep Power : 1044
      Likes Received
      207
      Likes Given
      168

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      Quote By Muttaline
      Baada ya wakuu wa shule za kiislamu kumuandikia katibu mkuu-Elimu wakilalamika kwa wanafunzi wao kudhulumiwa somo la Islamic knowledge, NECTA wametoa matokeo mapya wakiwapa haki zao watoto hawa wa kiislam. mfano shule ya UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOO matokeo ya kwanza yalikuwa hivi DIV-I = 1 DIV-II = 11 DIV-III = 54 DIV-IV = 12 FLD = 3 ya sasa ni DIV-I = 4 DIV-II = 24 DIV-III = 47 DIV-IV = 5 FLD = 1. Sasa kwa matokeo haya napata maswali:
      1. Haya matokeo kwa nini yaliminywa mwanzo? kuna nini hapa?
      2. Hivi kama waliweza kuchakachua somo hili walishindwa kweli kuchakachua na masomo mengine?
      3. Hivi NECTA wanaweza kuuambia nini ummah kuuaminisha kama wanatenda uadilifu katika mchakato wa kutangaza matokeo?
      4. Hivi Dk Ndalichako na timu yako mnahisi kwa kukubali kutoa matokeo mengine ndo mmemaliza tatizo? me nahisi ndo mmeazisha vita..
      5. Nimetoa sample ya shule moja... vipi kwa matokeo ya shule zote za kiislam watoto walikuwa wamedhulumiwa kwa kiasi gani?

      NB: napata furaha kwa sababu nauona mwisho wako Ndalichako na timu yako.
      ni lazima kujiuliza ni nani wanao mark hizo paper?siamini kuwa mtihani ni wa kiswahili ana mark mtaalamu wa hisabati. sasa isije ikawa ni jeuri ya watu wameicheza wakati wa marking na baadae wao wenyewe kutumia mlango wa nyuma kutambua kosa lililoandaliwa na wao ili tu waone wametengeneza ushahidi kuwa kuna watu wa imani fulani wanaonewa.

      kwa mchunguzi mwenye kufikiri, anatupa huo mzigo kwa wasaishaji na walio compile matokeo. kwa uwazi na uhakika, islamic knowledge haiwi marked na wataalamu wa chemistry, isipokuwa wale wa islamic knowledge na hao ni walimu wanaotoka shule kama hizo hizo ulizozitaja

    12. #29
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Lukolo
      Hata kama kuna ukweli, naweza fanya conclusion kwamba hayo ni matokeo ya kisiasa. Ambayo yametolewa kutokana na agizo la katibu mkuu. Hao wakuu wa shule za kiislamu hawajui utaratibu wa kukata rufaa kama shule zao zimefanya vibaya hata waamue kumwandikia barua katibu mkuu. Bila shaka katibu mkuu amemwagiza Ndalichako alegeze kidogo msimamo ili kuwabeba hawa wasiokuwa na uwezo wa darasani. Kwa imani yangu kama kweli haya matokeo ni halali na si ya kisiasa, basi kutakuwa na madudu makubwa mno hata katika shule nyingine: za serikali, za private na za seminary.
      eeeeeeh,,,,,,,,,,,,,,,

    13. #30

      eeeeeeh,,,,,,,,,,,,,,,yamekua hayo tena,,,,,,??????
      What i believe waliofaulu ndo wamepewa haki yao,na wasiofeli hawajapata kitu,,,,nimeangalia matokeo ya shule 2 hapa naona kuna utofauti,,,,,,na wala hakuna haja ya upendeleo,,,BARAZA si malaika,wanaweza kuchemka vilevile,,,sijui kama umewah kwenda marking za NECTA au unabwabwaja tu mdau
      Muttaline likes this.

    14. #31
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By myhem
      kama ni kweli siwezi kushangaa jambo hili kwani kuna wanafunzi wengi sana wamepata matokeo ya kushtua lkn kwa vile baraza ndo mwamuzi basi wameishia kuumia.mi naamini kabisa kuwa kuna madudu mengi yanafanyika mule ila yanafukiwa kimya kimya bila kujali kuwa wanachezea maisha ya watu.
      yupo binti alisoma shule inaitwa Adrian Mkoba ipo morogoro,mwaka 2007 alikunywa sumu baada ya kupata matokeo asoyatarajia,na mhariri wa mwananchi alitoa maoni kwamba NECTA wajiangalie isije ikawa wanalipua kazi za watu....
      Nakubaliana na HOJA YAKO,,,,maana script hazirudi tena,ingawa kuna ku-appeal

    15. #32
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Kindimbajuu
      ni lazima kujiuliza ni nani wanao mark hizo paper?siamini kuwa mtihani ni wa kiswahili ana mark mtaalamu wa hisabati. sasa isije ikawa ni jeuri ya watu wameicheza wakati wa marking na baadae wao wenyewe kutumia mlango wa nyuma kutambua kosa lililoandaliwa na wao ili tu waone wametengeneza ushahidi kuwa kuna watu wa imani fulani wanaonewa.

      kwa mchunguzi mwenye kufikiri, anatupa huo mzigo kwa wasaishaji na walio compile matokeo. kwa uwazi na uhakika, islamic knowledge haiwi marked na wataalamu wa chemistry, isipokuwa wale wa islamic knowledge na hao ni walimu wanaotoka shule kama hizo hizo ulizozitaja
      mdau unazijua taratibu au unasema,,,utaratibu upo hivi
      i.hatua ya kwanza necta hutuma barua kwa shule husika wakitaka walim wa kusahihisha,kigezo cha kwanza awe mwalim wa somo na kingine ni uzoef wa miaka mi3
      ii.walim wanaoenda ku-mark hula kiapo cha kutotoa sii yeyote ile,then mchakato wa kum-mark unaanza chini ya utaratibu maalum,kila somo huwa na pannel yake,na hugawanywa mikoa tofauti,kama vile mbezi beach dar es salaam(maeneo ya jogoo).
      iii.Data entry ndo mchakato unaofata afta marking,,,,walim wanapoondoka kazi ya upangaji wa matokeo ni ya NECTA,,,,,,sasa hapa ndipo panapolaumiwa sana,lakini pia kwanini matokeo haya yamebadilika wakati re-marking haijafanyika????je ni kweli wamewaridhisha waislam?????ili iweje????ina maana wanawaogopa?????
      MY take:NECTA wana tatizo kwenye upangaj wa matokeo,,,,,hivi una habar kwamba kuna kipindi wanaposema mtu ana A kwao wao ile A huanzia na ya 70!!!!!!????au F huanzia na 10??????mambo mengine yaache tu
      *MCHAKATO HUU HUFANYWA CHINI YA WATU WA USALAMA WA TAIFA,NDO WALOJAA NECTA PALE,,,KUANZIA UTUNGAJI,USAMBAZAJI,USIMAMIZ,U SAHIHISHAJI,UINGIZAJI DATA,kote wanahusika huko,,,,,......
      Last edited by Bajabiri; 2nd June 2012 at 08:32.
      Muttaline likes this.

    16. #33
      sugi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2011
      Posts : 817
      Rep Power : 582
      Likes Received
      82
      Likes Given
      4

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      "Am sick and tired of u........"utafaulu vp kama husomi,unapiga madufu 2,halafu unasubiri kufaulu,kwa nn hatujifunzi kwa shule za wenzetu MAKAFIRI wa kikatoliki?lazima 2fike mahala tutambue kuwa "baniani mbaya,kiatu chake dawa"kazi kulalama 2,ng'waaa*3..what the f.....k!

    17. #34
      Msolid1990's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 95
      Rep Power : 379
      Likes Received
      14
      Likes Given
      4

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      kwani waliosahihisha islamic si ni hao wlimu wa islamic knowledge? hii inakuwaje??

    18. #35
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,838
      Rep Power : 6963
      Likes Received
      1989
      Likes Given
      1535

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      Quote By Bajabiri
      mdau unazijua taratibu au unasema,,,utaratibu upo hivi
      i.hatua ya kwanza necta hutuma barua kwa shule husika wakitaka walim wa kusahihisha,kigezo cha kwanza awe mwalim wa somo na kingine ni uzoef wa miaka mi3
      ii.walim wanaoenda ku-mark hula kiapo cha kutotoa sii yeyote ile,then mchakato wa kum-mark unaanza chini ya utaratibu maalum,kila somo huwa na pannel yake,na hugawanywa mikoa tofauti,kama vile mbezi beach dar es salaam(maeneo ya jogoo).
      iii.Data entry ndo mchakato unaofata afta marking,,,,walim wanapoondoka kazi ya upangaji wa matokeo ni ya NECTA,,,,,,sasa hapa ndipo panapolaumiwa sana,lakini pia kwanini matokeo haya yamebadilika wakati re-marking haijafanyika????je ni kweli wamewaridhisha waislam?????ili iweje????ina maana wanawaogopa?????
      MY take:NECTA wana tatizo kwenye upangaj wa matokeo,,,,,hivi una habar kwamba kuna kipindi wanaposema mtu ana A kwao wao ile A huanzia na ya 70!!!!!!????au F huanzia na 10??????mambo mengine yaache tu
      *MCHAKATO HUU HUFANYWA CHINI YA WATU WA USALAMA WA TAIFA,NDO WALOJAA NECTA PALE,,,KUANZIA UTUNGAJI,USAMBAZAJI,USIMAMIZ,U SAHIHISHAJI,UINGIZAJI DATA,kote wanahusika huko,,,,,......
      Sioni mantiki kwenye hoja yako, kwa kuwa usalama wa taifa umejaa waislamu wengi sana. Almost kila section ya usalama wa taifa ni waislamu. Sasa hao waislamu wanawezaje kufanya kazi ya kuwaumiza waislamu wenzao? Tukubaliane kwamba ama NECTA hawafanyi kazi zao kwa weledi wa kutosha, au matokeo mapya yaliyotangazwa ni ya kisiasa. Maana na nyie mmezidi mno kulalamika. Yawezekana wanasiasa wameamua mpewa japo vimaksi kidogo ili mpunguzo mdomo.
      Bumpkin Billionare likes this.
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    19. #36
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Lukolo
      Sioni mantiki kwenye hoja yako, kwa kuwa usalama wa taifa umejaa waislamu wengi sana. Almost kila section ya usalama wa taifa ni waislamu. Sasa hao waislamu wanawezaje kufanya kazi ya kuwaumiza waislamu wenzao? Tukubaliane kwamba ama NECTA hawafanyi kazi zao kwa weledi wa kutosha, au matokeo mapya yaliyotangazwa ni ya kisiasa. Maana na nyie mmezidi mno kulalamika. Yawezekana wanasiasa wameamua mpewa japo vimaksi kidogo ili mpunguzo mdomo.
      umenielewa vibaya,,,,sorry,,,,,
      Muttaline likes this.

    20. #37
      eliesikia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Location : Nairobi
      Posts : 398
      Rep Power : 517
      Likes Received
      63
      Likes Given
      71

      Default

      Quote By Zinedine
      Elimu yako haikukusaidia hata kidogo! Katika hali ya kawaida, mtu yeyote mwenye ufahamu na elimu iliyemsaidia atakayesikia suala hili; kwanza atatafuta authenticity ya habari hii; na iwapo atagundua kwamba ni kweli-bac atashtushwa saaaaaana na habari ya namna hii. Hakuna namna yoyote ya kubadilisha passmark za mtu baada ya kufanya mtihani na matokeo kutolewa isipokuwa ikiwa huyo mtu amefanya tena mtihani na ukasahihishwa tena, si vinginevyo. Binafsi siamini utaratibu wa rufaa wa NECTA na iwapo ingelinitokea huko nyuma kupata matokeo yasiyoridhisha nisingelikata rufaa(namshukuru M/Mungu sijawahi kupata tofauti na matarajia yangu). If 2x3=6; and a student calculated wrongly as 2x3=4, which is totally wrong; how then it can be changed from wrong answer to right answer without re-calculating by the student him/herself? Halafu wee unaona ni sawa tu??? Ni udini au ujinga sasa. Na ikiwa matokeo yamebadilishwa kwa political motives, bac tatizo tulilonalo huko NECTA ni kubwa zaidi; ikiwa siasa imeweza, vipi nafsi/kujuanazation ikashindwa? Na ni wangapi leo hii ni madaktari kwa marks za political memo!
      Re-think then come again
      kaka hawajakata rufaa kwny hesabu maana huku chuo 2tawala vichwa vilaza. Kuna somo la dini ndio hzo shule walitaka standardization ili wachomoke.

      Waislamu wanalalamika bure lakn kiukweli inabid wakaze buti sana maana shule ya bongo yahitaji kubanana sana na kitabu. Ujue ukiangalia waislamu wanaosoma shule zisizo za kidini wanafaulu sana. Angalia tabora boys, kibaha, mzumbe etc.

    21. #38
      kirumonjeta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2008
      Location : Mogadishu
      Posts : 425
      Rep Power : 661
      Likes Received
      76
      Likes Given
      118

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      Hivi kujiuzulu si kulishafutwa au? Ndalichako what are you waiting for????????
      NI TAMAA YA UFISADI TU INAYOKUSABABISHA UENDELEE KUBAKIA CCM

    22. #39
      vanmedy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th October 2011
      Location : dar es salaam
      Posts : 1,199
      Rep Power : 623
      Likes Received
      213
      Likes Given
      47

      Default

      Quote By Senetor
      mayb muslimu university.
      halafu kijana unajikutaga mjuaji wa kila kitu... jitahidi atleast umalize chuo basi

    23. #40
      andate's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th June 2011
      Posts : 1,155
      Rep Power : 633
      Likes Received
      399
      Likes Given
      2137

      Default Re: Aibu kubwa kwa baraza la mitihani(necta)

      Quote By zomba
      Hii ni kashfa kubwa sana kwa NECTA, Jee, Bible studies nayo wameifanyia hivi?

      Hatozidishiwa mwenye kudhulumu ila hasara.
      Enzi zetu ilikuwa ni vigumu sana kufaulu mitihani ya dini zote(ya NECTA) sasa ndio napata picha kamili.

    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...