Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Waislam hawana Imani na Baraza la Mitihani...

    Report Post
    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
    Results 41 to 60 of 81
    1. #1
      mzee wa njaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 670
      Likes Received
      194
      Likes Given
      107

      Default Waislam hawana Imani na Baraza la Mitihani...

      Wanacholalamikia ni hiki kifuatacho:-

      1. Baraza linafelisha makusudi Waislam na shule zao.
      2. Vitengo muhimu wapo Wakristo wakereketwa.
      3. Wakuu wa shule Waislam wapinga matokeo.
      4. Wataka iundwe tume kuchunguza matokeo 2012.

      Kwa maelezo hayo hapo juu hivi tunajenga au tunabomoa?

      Sidhani kama hawa Waislam wana malalamiko ya msingi kwenye hili. Waelewe adui wa Waislam ni wenyewe waislam.
      Habari za kupikwa kama hizi hazileti tija kwenye Taifa la Tanzania hata siku moja. Habari haina facts hata kidogo.

      What I think….There is………. Anyway…..”Inferiority complex”. Mhariri na Mwandishi wa habari hii wana tatizo kubwa, sasa sijui kama wanaweza kutupatia ushahidi. Je, serikali iko wapi kwenye hili au inataka mpaka maafa yatokee.

      Hili gazeti la AN-NUUR hata siku moja haliwezi kuandika maendeleo ya Waislam kwa faida ya wailsam wao kila siku kuandika habari za Wafuasi wa Mtume kuonewa sasa sijui wanaupeleka wapi Uislam.

      Ingekuwa vema tungeacha kushabikia ujinga maana hata ukimpatia mtoto asiyejua kusoma na kuandika Division One kwa ajili ya kuwafurahisha akina Masheikh uchwara ambao wao kila siku kazi yao kulalamika tu pasipo na msingi. Je, tunakuwa tunatengeneza nini kama si bomu.

      Waislam liangalieni hilo gazeti la An Nuur litakuja kuwagombanisha Waislam na watu wa Dini nyingine.

      Yangu ni hayo tu.
      JACOB MANG'OMBE likes this.

    2. Miaka 50

    3. #41
      genekai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2010
      Location : Loitering!
      Posts : 7,551
      Rep Power : 2090
      Likes Received
      1096
      Likes Given
      1575

      Default Re: Waislam hawana Imani na BARAZA LA MITIHANI.....................

      Nashangaa sana na mabo ya hawa jamaa, wao wako busy wanachoma makanisa na kufadhili mihadhara isokuwa na tija wakti wenzao wakomadarasani wanasoma kwa kufuata syllabus ya Wizara ya elimu, wao wako busy na kusoma juu zuu kule madrass wakati wenzao wanajisomea notes za waalimu wao, wao wako busy wanachoma biblia na kuhubiri kuwa Yesu si Mungu wakati wenzao wanafanya masahihisho ya mtihani waloufanya. Halafu wanalalama kuwa hawana imani na Baraza mtihani?

      Wakati Waislamu wananunua maspika, maikrofoni na kukodi magari ya kubeba wahubiri kuwathibitishia waja wa Mwenyezi Mungu Subhana wa Taala kuwa Yesu yule Mnazareti siyo Mungu, Wakristo wao wanajenga Chuo Kikuu na kuruhusu wote waende kupata shahada na stashahada pale.Wakati waungwana wanapiga kampeni nchi nzima wakitaka serikali iwaanzishie mahakama yao peke yao kwa ajili ya kuwatatulia migogoro ya mirathi, wakfu na mambo ya talaka, wao
      Wakristo wanajenga hospitali ya rufaa na kuruhusu yeyote atakaye aende kutibiwa pale.Wakati wengine wanalalamikia serikali kwa kutowajengea barabara, wao Wakristo wanaomba na kupewa maeneo makubwa ya ardhi mbali na barabara huko maporini kwa ajili ya makanisa yao , shule zao za chekechea, msingi na sekondari; seminari zao na vyuo vyao. Narudia huko maporini!
      Nenda hapa kwa maelezo zaidi http://www.google.co.ke/url?sa=t&rct...tvaUPKhwTbzJtw
      The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders

    4. #42
      The_Emperor's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2012
      Posts : 472
      Rep Power : 456
      Likes Received
      41
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Safhat
      uyo kuku aliyekatwa kchwa ndo ww mana unaongea nonsense!.
      Huyu kama siyo sheikh basi atakuwa ostadh fulani!

    5. #43
      BinMgen's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2008
      Posts : 1,484
      Rep Power : 854
      Likes Received
      110
      Likes Given
      229

      Default

      Quote By mzee wa njaa
      Nani kafa? S.A.W au mwingine?
      Mzee yesu ,akafufuka akafatena atafufuka tena. kisha takufa tena duh! Imani nyengine inabidi ujitoe fahamu.:D
      Life is too short don't wait



    6. #44
      okaoni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th June 2011
      Posts : 262
      Rep Power : 453
      Likes Received
      60
      Likes Given
      56

      Default Re: Waislam hawana Imani na BARAZA LA MITIHANI.....................

      Quote By Safhat
      lete proof.
      just read between the lines of each copy of the said poster and compare it with respected newspaper you reveal the truth otherwise if you are obsessed with the believe that it is a news paper we will never be ad idem
      Last edited by okaoni; 27th May 2012 at 23:00.

    7. #45
      The_Emperor's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2012
      Posts : 472
      Rep Power : 456
      Likes Received
      41
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By BinMgen
      Mzee yesu ,akafufuka akafatena atafufuka tena. kisha takufa tena duh! Imani nyengine inabidi ujitoe fahamu.:D
      Una laana wewe,siyo bure!NJOO UFANYIWE MAOMBI.

    8. RukaaJuu Final

    9. #46
      mzee wa njaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 670
      Likes Received
      194
      Likes Given
      107

      Default Re: Waislam hawana Imani na BARAZA LA MITIHANI.....................

      Quote By Safhat
      hoja zao zte zna PROOF,ZINAELEWEKA NA KUAMINIKA na wa2 weny akili timamu na sio wny interest zao bnafc.ww Mzee wa njaa nna hofu kua umehongwa utoe mada hi ili upunguze njaa yko.
      POLE SANA BRO...
      Ukikubali kuhongwa ujue aliyekuhonga amekudharau na umejidhalilisha. Kamwe sito hongwa kwa style hiyo. Nunua gazeti la An Nuur la wiki iliyopita usome habari za wafuasi wa mtume wanavyolalamika kuonewa.

    10. #47
      mzee wa njaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 670
      Likes Received
      194
      Likes Given
      107

      Default Re: Waislam hawana Imani na BARAZA LA MITIHANI.....................

      Al Haramain Mwalimu anaitwa Ostadh unategemea kutakuwa na ufaulu hapo? wakristo wanyongeni lakini haki zao wapeni.

    11. #48
      Safhat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 270
      Rep Power : 408
      Likes Received
      24
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By mzee wa njaa
      Ukikubali kuhongwa ujue aliyekuhonga amekudharau na umejidhalilisha. Kamwe sito hongwa kwa style hiyo. Nunua gazeti la An Nuur la wiki iliyopita usome habari za wafuasi wa mtume wanavyolalamika kuonewa.
      m2 mpk kufikia stage ya kulalamika ujue ameonewa kweli.waislam sio cowards ndo mana wanatafuta haki kwa kila njia inayofaa.

    12. #49
      Safhat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 270
      Rep Power : 408
      Likes Received
      24
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By The_Emperor
      Una laana wewe,siyo bure!NJOO UFANYIWE MAOMBI.
      hee!maombi yenyewe yakupgiwa makofi na kuimba nymbo c bora aend disco akacheze..!!!

    13. #50
      mzee wa njaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 670
      Likes Received
      194
      Likes Given
      107

      Default Re: Waislam hawana Imani na Baraza la Mitihani...

      Quote By Safhat
      inshort TUSHACHOKANA..!

      Oyaa tushachokana kivipi? Waislam wameshapotea ndugu. Na bado.

    14. #51
      mzee wa njaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 670
      Likes Received
      194
      Likes Given
      107

      Default Re: Waislam hawana Imani na Baraza la Mitihani...

      Quote By Safhat
      alowarithisha nyiny bdo ypo hai?
      Yes yuko hai. Kwani hujui? Pole sana.

    15. #52
      Safhat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 270
      Rep Power : 408
      Likes Received
      24
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By The_Emperor
      Huyu kama siyo sheikh basi atakuwa ostadh fulani!
      c sheikh wala ustadh ni mtetez wa wa2 wanao2piwa fikra potofu km waislam.

    16. #53
      Safhat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 270
      Rep Power : 408
      Likes Received
      24
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By mzee wa njaa
      Yes yuko hai. Kwani hujui? Pole sana.
      yesu yupo hai!! Au ameshafufuka tena! He mungu huyu nae wa kufa na kufufuka mtihan m2pu..!!

    17. #54
      Safhat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 270
      Rep Power : 408
      Likes Received
      24
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By mzee wa njaa
      Oyaa tushachokana kivipi? Waislam wameshapotea ndugu. Na bado.
      Nyny mme2chka na cc 2shawachka so 2shachokana.dah! Uclolijua n sawa na uck wa giza na LITAKUSUMBUA SN.

    18. #55
      Safhat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 270
      Rep Power : 408
      Likes Received
      24
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By mzee wa njaa
      Al Haramain Mwalimu anaitwa Ostadh unategemea kutakuwa na ufaulu hapo? wakristo wanyongeni lakini haki zao wapeni.
      kwan kuitwa mwalim ndo kuna fanya w'nz wafaulu.bac wangefaulu weng.

    19. #56
      jamiif's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2012
      Posts : 956
      Rep Power : 547
      Likes Received
      242
      Likes Given
      511

      Default Re: Waislam hawana Imani na BARAZA LA MITIHANI.....................

      ndugu kuwa na kauli nzuri kwani hawa waislamu ni watu kama wewe na sio MAJITU kama unavyoita...muogope sana Mungu wako kwani ndio huyo huyo akiyeuma wakristo na waislam...naona ni kama una chuki za kidini na waislam...kushinda msikitini sio dhambi na hutakiwi kumsimanga mtu kwa kutaja MSIKITI...kuwa na hekima kidogo...wewe ndio wale badala ya kuchangia mada kama unalo la kuchangia, unaanza kuendeleza chuki zako na imani ya kiislam. ACHA!
      Quote By Senetor
      Majitu kutwa nzima yanashinda misikitini yakiimba kaswida....unategemea kuna kufaulu mitihani ya necta hapo?

    20. #57
      The_Emperor's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2012
      Posts : 472
      Rep Power : 456
      Likes Received
      41
      Likes Given
      0

      Default Re: Waislam hawana Imani na Baraza la Mitihani...

      Hallelujah!

    21. #58
      vangiling'ombe's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 102
      Rep Power : 380
      Likes Received
      24
      Likes Given
      8

      Default Re: Waislam hawana Imani na BARAZA LA MITIHANI.....................

      Quote By Paxman
      Tunachoka now sasa!
      Walishazoea TENDE NA ALUA. Kamueni acheni kulalama. Itawachukua miaka mingi sana kujiletea maendeleo yenu wenyewe kwa tabia hizi za kulalama.

    22. #59
      Mwanaukweli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th May 2007
      Posts : 1,709
      Rep Power : 2924
      Likes Received
      647
      Likes Given
      177

      Default Re: Waislam hawana Imani na Baraza la Mitihani...

      Quote By Safhat
      hoja zao zte zna PROOF,ZINAELEWEKA NA KUAMINIKA na wa2 weny akili timamu na sio wny interest zao bnafc.ww Mzee wa njaa nna hofu kua umehongwa utoe mada hi ili upunguze njaa yko.
      POLE SANA BRO...
      Suala hili Zanzibar lilipelekwa kwenye baraza la wawakilishi kama issue, Waziri wa Elimu wa Zanzibar akaunda Kamati, na kamati ikatoa matokeo ya uchunguzi kama habari hii hapa ielezavyo:

      SMZ yakubali wanafunzi 1,200 wafutiwe matokeo
      Imeandikwa na Khatib Suleiman, Zanzibar; Tarehe: 4th April 2012


      HabariLeo | SMZ yakubali wanafunzi 1,200 wafutiwe matokeo


      SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imekubaliana na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), kwa hatua yake ya kuwafutia matokeo ya mitihani ya kidato cha nne wanafunzi 1,200 kutoka Zanzibar baada ya kubainika kufanya udanganyifu kwa kushirikiana na wasimamizi wa mitihani.

      Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ramadhan Abdalla Shaaban alisema hayo wakati akijibu hoja za wajumbe waliopitisha Muswada wa Kuanzishwa kwa Bodi ya kufanya tathimini ya vipimo vya elimu Zanzibar.

      Shaaban alisema SMZ iliwasiliana na NECTA kuhusu kuwepo kwa taarifa za kuvuja kwa mitihani pamoja na wanafunzi wengi wa Zanzibar kufutiwa mitihani yao ya kidato cha nne waliofanya mwaka jana.

      “Tulifanya mawasiliano na kupeleka mjumbe wetu huko, lakini baada ya utafiti ilibainika kwamba wanafunzi wamefanya udanganyifu mkubwa wa mitihani yao baada ya kupata vielelezo mbalimbali,” alisema Shaaban.

      Alisema hata hivyo SMZ imeunda chombo kuchunguza suala hilo la kufutiwa kwa wanafunzi wa Zanzibar mitihani ya kidato cha nne, lakini taarifa za awali pamoja na uthibitisho wake unaonesha kwamba wanafunzi wamefanya udanganyifu ambao ni kinyume cha maadili ya mitihani.

      Alisema hivi sasa wanafunzi wengi wanakabiliwa na dhana potofu ya kusubiri kununua mitihani ya taifa ya kidato cha nne na sita na kuacha kusoma kwa bidii.

      Aidha, Shaaban aliwataka wazazi nao kuacha kabisa tabia ya kushawishiwa na watoto wao kununua mitihani ya taifa, kwani kufanya hivyo madhara yake ni makubwa ikiwemo kufutiwa mitihani ya taifa.

      Akijibu hoja za wajumbe, Shaaban alisema SMZ haina mpango wa kujiondoa katika Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kwani chombo hicho kipo kwa mujibu wa sheria kikiwa ni taasisi ya Muungano.

      “Hatuna mpango wa kujiondoa katika chombo cha NECTA......tumeunda Bodi ya kuangalia tathimini ya vipimo vya elimu, lakini haina maana kwamba tunajiondoa katika Baraza la Mitihani la Taifa,” alisema.

      Wajumbe wengi wa Baraza la Wawakilishi waliochangia muswada huo waliitaka Zanzibar kujiondoa NECTA baada ya kuwepo tuhuma za kufutiwa mitihani yao taifa kidato cha nne wanafunzi wengi kutoka Zanzibar.


    23. #60
      Nivea's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 5,706
      Rep Power : 16252
      Likes Received
      3153
      Likes Given
      4076

      Default Re: Waislam hawana Imani na Baraza la Mitihani...

      Yani kweli nyie hamuoni mumelaaniwa nasikitika kusema hivyo mana kuanzia watoto hadi wazazi na vizazi hamfikirii mnataka mjitoe NECTA ili muibe mitihani sio.yani jamani nyinyi muna matatizo sanahamuoni aibu vichwa venyewembumbumbu mfelishwe nini hamna imani gani mnapewa majibu mnakopy hadi nucta namajina mnaibia .JIKOMBOENI KIFIKRA WAZANzIBARI.wacheni ujinga mnaaribu vizazi vyenu ndugu hii dinia huishi milele unapita na kila kitu hautakuwa na kontrol nacho milele nawashangaa sana sana,hamna watu wenye busara wawafunze.dunia hii tunapita tu.hamna imani na NECTAMNA IMANI NA VISU VIBERITI NA MAPANGA??????

    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...