Habari waungwana!!!

Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa pili semister ya pili RUCO, Faculty BA(EDUCATION) mpaka sasa sijapata mkopo wa semister za mwaka wa pili ikiwa taratibu zote nimekamilisha, Je nifanyeje na Bodi nilishakwenda mara kibao na kuambiwa niko kwenye system lakini mpaka sasa hamna chochote kinachoendelea?

Ushauri tafadhali!