Wadau mie nimetokea sana kumpenda huyu kinara wa tanzania wa matokeo ya form 6 FAITH P ASSENGA
Nataka mawasiliano nayo.
Wadau mie nimetokea sana kumpenda huyu kinara wa tanzania wa matokeo ya form 6 FAITH P ASSENGA
Nataka mawasiliano nayo.
We fataki hebu mwache mtoto wa KICHAGGA asome apate elimu.
mmmhhh kumbe michaga ina akili hiyo naona mwaka huu wao duuu...
picha please...
Wachaga ni nouma xana,
na mie lazma nioe mchaga aixeee tena huyu huyu faith p assenga.
acheni sifa za kijinga
Vilaza! Mbona vyuon hawaonekan hao tz one? Watoto wa wakulima wanaotoka na div 2 au 3 ndio wanaburuza?
Acha kujisifu we *****? Muhagati chacha ni mchaga? Mbona wa2 wa kutoka sehemu zingine wakiongoza huwa mko kimya? Msitake kila kitu kizuri kiwe kwenu b'ana.
Huyo ni kilaza mzuri tu!
Mmmh!tumewashitukia.
0812161689 mtafute mtoto upewe raha ya penziii
Chinja chinja.
Iunafikiri twenye maakili ya hivi huwa tunashobokea wavulana? Mshika mbili moja humponyoka, huyu unafukuzia akiwa 2nd year halafu unakubaliwa wakati anamalizia mwaka wa 3. Kumuangusha dhambini baada ya kumeet wazazi wake akiwa likizo ya kusaka kazi! All the best.
Follow Us Here