Wadau mie nimetokea sana kumpenda huyu kinara wa tanzania wa matokeo ya form 6 FAITH P ASSENGA
Nataka mawasiliano nayo.
Wadau mie nimetokea sana kumpenda huyu kinara wa tanzania wa matokeo ya form 6 FAITH P ASSENGA
Nataka mawasiliano nayo.
Hicho ni kichwa kwa sec, ila akija huku chuo especially SUA tena asome BVM lazima atambae, hapa ni mziki menene, unapiga masomo yapatayo 8 kwa miezi 3 tena yamasheheni minotice, unapigwa assignment, practical report, presentation na mi CAT, wakti form 6 unasoma masomo 5 kwa mwaka, weeeee acha aisee.
Mfuate hapa Faith Assenga
Mbwa ukimjua jina wala hakupi shida....
Mbwa ukimjua jina wala hakupi shida....
acha shobo kisa amefaulu
kaka!
I need you faith p assenga mwenye mawasiliano naye anisaidie.
Unamuonea tamaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....
Follow Us Here