JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kwa waliosoma DODOMA CENTRAL SEC SCHOOL

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 31 of 31
  1. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,737
   Rep Power : 3007
   Likes Received
   1135
   Likes Given
   52

   Default Kwa waliosoma DODOMA CENTRAL SEC SCHOOL

   Shule ya Sekondari ya Dodoma Central imefungiwa na Serikali,sababu za kuifungia ni kukosa vigezo vya kuwa shule ya sekondari baada ya Wakaguz wa Elim kuikagua na kujiridhisha kuwa haiana viwango vyao,
   sosi:HABARI LEO.
   My Take
   Mimi nimiongo mwa wadau walipata kusoma Dodoma Central,na naiman kuna wadau walisoma pale,kwa mu0n0 wangu nahis wadau wa ukaguz kama walichelewa vile?ila nachoshauri ni kwamba wanafunz waliokua wanasoma hapo watafutiwe shule haraka,mamlaka husika ziwasaidie kwenye MCHAKATO wa UHAMISHO

  2. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,737
   Rep Power : 3007
   Likes Received
   1135
   Likes Given
   52

   Default

   Quote By Malolella View Post
   Ile shule imesajiliwa mwaka 1921 na kupewa kibali cha miaka 35. (expire date of land certificate) wakati huo ikiwa chini ya wahindi. Waka renew tena mpaka mwaka 1976 baada ya kuexpire kibali cha mwanzo. Wakarenew tena kwa miaka 16. Baada ya hapo hawajarenew tena kwahiyo mpaka sasa haijulikani mmiliki ni nani. Inshort mpaka sasa shule iko chini ya Rais kwani ardhi haijamilikishwa kwa mtu. Huo ndio usajili unaozungumziwa hapo.
   hilo nalo ckua nalijua me nimesoma tu,

  3. zubedayo_mchuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2011
   Location : ELitrea-kismayu-DRC
   Posts : 4,740
   Rep Power : 71428
   Likes Received
   1046
   Likes Given
   62

   Default Re: Kwa waliosoma DODOMA CENTRAL SEC SCHOOL

   wanafunzi wenyewe walituma meseji kwa Rc na RC alifika pale bila taarifa.Kigala ful kujiuma uma.

  4. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,737
   Rep Power : 3007
   Likes Received
   1135
   Likes Given
   52

   Default

   Quote By Saint Ivuga View Post
   duh..kweli kuna watu wasanii sana
   kama hakuna anaemzonga itakuaje?

  5. Bajabiri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2011
   Posts : 9,737
   Rep Power : 3007
   Likes Received
   1135
   Likes Given
   52

   Default

   Quote By zubeda_mchuzi View Post
   wanafunzi wenyewe walituma meseji kwa Rc na RC alifika pale bila taarifa.Kigala ful kujiuma uma.
   dah,mama nchimbi nae anachimbua?
   KIGALA NI BEPAR BHANA HATA KAMA HUNA MIA,N0 CHET

  6. Mfarisayomtata's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd February 2012
   Location : DODOMA
   Posts : 362
   Rep Power : 564
   Likes Received
   59
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Bajabiri View Post
   mfarisayo we ni m'binafsi kama KIGALA
   Kaka ada kaka, nimeshalipa ada yote mkuu ntafanyaje sasa.


  7. +255's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st January 2012
   Posts : 1,572
   Rep Power : 811
   Likes Received
   387
   Likes Given
   0

   Default Re: Kwa waliosoma DODOMA CENTRAL SEC SCHOOL

   Ka tatizo ni walimu, wakikagua shule za kata si zitafungwa zote..

  8. wijei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th June 2011
   Posts : 450
   Rep Power : 616
   Likes Received
   92
   Likes Given
   20

   Default Re: Kwa waliosoma DODOMA CENTRAL SEC SCHOOL

   Da! Tumepiga tuition sana pale kuanzia o level mpaka advance nikiwa mazengo sec.enzi hizo tukiwa na Mugalula akitupigia physics.mi mwenyewe nilifanya ujasiliamali pale baada ya kumaliza form six kwa kuwapigia vijana physics. Sijui mzee Magawa mzee wa kyombe bado alikuwepo pale!

  9. Chiwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th April 2008
   Posts : 642
   Rep Power : 818
   Likes Received
   209
   Likes Given
   660

   Default Re: Kwa waliosoma DODOMA CENTRAL SEC SCHOOL

   kwa mazingira yalivyo pale kwa kweli hapafai shule tena vinginevyo mazingira yarekebishwe watoto wanapiga umalaya tu samahani kwa kutumia neno hili si kawaida yangu lakini sikuona neno rahisi.inatakiwa ianze upya mazingira yana onyesha shule kwa sasa haina mwenyewe na serikali ndio itakuwa mmiliki halali wa eneo hilo hivyo kazi kwako nssf naona ni mdau mkubwa unayeweza kuomba na kurekebisha write up zako na ukachukua eneo ukapiga ghorofa zako za kutotosha na sisi wagogo tuonekane wa maana kwa kuwa na jengo la pili lenye lift baada ya lile la tamisemi ukiachilia mbali kwa sasa jengo refu dodoma ni lile la mipango lenye ghorofa sita.

  10. Landala's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th December 2010
   Posts : 854
   Rep Power : 720
   Likes Received
   178
   Likes Given
   32

   Default Re: Kwa waliosoma DODOMA CENTRAL SEC SCHOOL

   Kwa kweli wizara imefanya jambo la maana kuifunga ile shule,mie nakumbuka nilipomaliza first year nilienda Dodoma kuna jamaa zangu walikuwa wanapiga udom walikuwa wakienda central kupiga part time,shule haikuwa na walimu wakuajiliwa na waliokuwepo ni wa part time tu,wizara imechelewa kuifungia.Wanafunzi wengi wa kike pale walikuwa poneo kwa walimu,wabunge,makonda,maderev a,maaskari na wananchi mbali mbali.

  11. NZURI PESA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th March 2011
   Posts : 795
   Rep Power : 696
   Likes Received
   78
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Bukijo View Post
   Naombeni historia ya hii shule make nasikia inasiku nyingi sasa iweje ifungiwe leo?.Nasikia kuna ufisadi unataka kufanyika pale.Je,Tanzania nzima wameona Central tu?.Mbona kuna shule zaidi ya 3 ninazozifahamu za private zipo kama Central lakini hawajazifungia?.Je,wamewaandal ia mazingira gani wanafunzi waliokua wanasoma pale?.Adhabu hii ni kwa mwenye shule au wazaz na wanafunzi waliokua wanasoma pale?.
   Hapo kuna mkono wa Kigogo si bure!!!
   Nawapeni pole sana wadau wote ambao jambo hili linawagusa moja kwa moja,inasikitisha lakini serikili ikikugeuka ni afadhali ya Jambazi na mateka.
   Ila jipeni moyo matatizo yenu yatafika kikomo.
   Si hivyo,UNGEKUWA WEWE UNALIPA ADA HALAFU UNAFANYIWA SANAA ktk MAISHA YAKO YA BAADAE UNGEANDIKA HAYA ULIYOANDIKA?
   Ninakerwa na wanaochezea ELIMU YA WATOTO WETU!
   Niliumwa na roho na kumchukia mwalim aliye nifundisha KISWAHILI primary, baada ya kugundua alikuwa na vyeti feki vya ualimu na hakumaliza hata drs la 7.

  12. NZURI PESA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th March 2011
   Posts : 795
   Rep Power : 696
   Likes Received
   78
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Bukijo View Post
   Naombeni historia ya hii shule make nasikia inasiku nyingi sasa iweje ifungiwe leo?.Nasikia kuna ufisadi unataka kufanyika pale.Je,Tanzania nzima wameona Central tu?.Mbona kuna shule zaidi ya 3 ninazozifahamu za private zipo kama Central lakini hawajazifungia?.Je,wamewaandal ia mazingira gani wanafunzi waliokua wanasoma pale?.Adhabu hii ni kwa mwenye shule au wazaz na wanafunzi waliokua wanasoma pale?.
   Hapo kuna mkono wa Kigogo si bure!!!
   Nawapeni pole sana wadau wote ambao jambo hili linawagusa moja kwa moja,inasikitisha lakini serikili ikikugeuka ni afadhali ya Jambazi na mateka.
   Ila jipeni moyo matatizo yenu yatafika kikomo.
   Si hivyo,UNGEKUWA WEWE UNALIPA ADA HALAFU UNAFANYIWA SANAA ktk MAISHA YAKO YA BAADAE UNGEANDIKA HAYA ULIYOANDIKA?
   Ninakerwa na wanaochezea ELIMU YA WATOTO WETU!
   Niliumwa na roho na kumchukia mwalim aliye nifundisha KISWAHILI primary, baada ya kugundua alikuwa na vyeti feki vya ualimu na hakumaliza hata drs la 7.


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...