JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: MBA(Corporate management) ya Mzumbe na MBA ya UDSM!!!!

  Report Post
  Page 1 of 3 123 LastLast
  Results 1 to 20 of 52
  1. Insabhunsa Gusa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 13th May 2011
   Posts : 98
   Rep Power : 557
   Likes Received
   45
   Likes Given
   84

   Default MBA(Corporate management) ya Mzumbe na MBA ya UDSM!!!!

   Kwenu wanazuoni,

   Naomba mnijuze kwanza ubora wa MBA katika vyuo hivi viwili. Pili, MBA in CORPORATE MANAGEMENT inahusika na nini hasa? Na inatofauti gani na hizi MBA za UDSM. Asanteni kwa mchango wenu wenye tija!!! Vile vile ni courses zipi(Modules) zinazotengeneza MBA(Corporate Management)

  2. mopaozi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th November 2010
   Posts : 3,044
   Rep Power : 1008
   Likes Received
   370
   Likes Given
   55

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   www.mutv.com utapata details zote

  3. Hute's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Posts : 3,089
   Rep Power : 85901937
   Likes Received
   1410
   Likes Given
   39

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   icho choo cha mzumbe. bogus kabisa...siwezi kusoma masters wala phd pale...ni sawa tu na kusoma online...magraduate wa pale ni kina Dr.kamala, dr. mery nagu etc....you now get the picture.....

  4. Kipilime's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Posts : 118
   Rep Power : 731
   Likes Received
   37
   Likes Given
   11

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Hute View Post
   icho choo cha mzumbe. bogus kabisa...siwezi kusoma masters wala phd pale...ni sawa tu na kusoma online...magraduate wa pale ni kina Dr.kamala, dr. mery nagu etc....you now get the picture.....
   Ndhani ume-ku-ru-pu-ka toka katika usingizi mzito. Je hivi Dr. Kamala ana Masters au PhD ya Mzumbe, Dr. Mary Nagu ana PhD ya Mzumbe? Hujajibu hoja, ulivyoona tu Mzumbe tayari umekuja na premises ambazo inaonekana una prejudices kibao juu ya Mzumbe. (Possibly you were once aggrieved sometimes)

   Sasa swali ni Je, MBA ya Mzumbe na UDSM ni sawa? Hapana hazipo sawa kwa kuwa zinatolewa na vyuo viwili tofatuti na kila chuo kina mamlaka ya kutengeneza mitaala ya programmes zake na kupata approval ya TCU kulingana na mahitaji ya soko. Jee MBA ya Mzumbe, ya IFM, ya SUA, ya ESAMI au ya OUT zipo sawa?. La hasha hata kidogo. Usawa unaweza kuwepo kwa MBA ya UDOM kwa kuwa UDOM ni paste and copy ya kila kitu kutoka UDSM kama kasuku vile. Lakini MBA za vyuo vingine vyote hata hapa TZ hazipo sawa na hazitakiwi kuwa sawa ili kuwafanya watu wawe na choice.

  5. Hute's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Posts : 3,089
   Rep Power : 85901937
   Likes Received
   1410
   Likes Given
   39

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Kipilime View Post
   Ndhani ume-ku-ru-pu-ka toka katika usingizi mzito. Je hivi Dr. Kamala ana Masters au PhD ya Mzumbe, Dr. Mary Nagu ana PhD ya Mzumbe? Hujajibu hoja, ulivyoona tu Mzumbe tayari umekuja na premises ambazo inaonekana una prejudices kibao juu ya Mzumbe. (Possibly you were once aggrieved sometimes)

   Sasa swali ni Je, MBA ya Mzumbe na UDSM ni sawa? Hapana hazipo sawa kwa kuwa zinatolewa na vyuo viwili tofatuti na kila chuo kina mamlaka ya kutengeneza mitaala ya programmes zake na kupata approval ya TCU kulingana na mahitaji ya soko. Jee MBA ya Mzumbe, ya IFM, ya SUA, ya ESAMI au ya OUT zipo sawa?. La hasha hata kidogo. Usawa unaweza kuwepo kwa MBA ya UDOM kwa kuwa UDOM ni paste and copy ya kila kitu kutoka UDSM kama kasuku vile. Lakini MBA za vyuo vingine vyote hata hapa TZ hazipo sawa na hazitakiwi kuwa sawa ili kuwafanya watu wawe na choice.
   aggrieved sometiems by mzumbe? comon! tafazali bwana...mimi nimesoma degree yangu ya kwanza udsm, ya pili nimesoma majuu....hata bure mzumbe siendi....kuna vidigree fulani hivi ni vya chapchap..take away fulani hivi.....si unaona sasa ivi kinapigwa bao hata na sau tu?

  6. Kipilime's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Posts : 118
   Rep Power : 731
   Likes Received
   37
   Likes Given
   11

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Hute View Post
   aggrieved sometiems by mzumbe? comon! tafazali bwana...mimi nimesoma degree yangu ya kwanza udsm, ya pili nimesoma majuu....hata bure mzumbe siendi....kuna vidigree fulani hivi ni vya chapchap..take away fulani hivi.....si unaona sasa ivi kinapigwa bao hata na sau tu?
   Hujaona kingine cha kujibu hadi useme umesoma majuu? read between the lines. I said "possibly" Hata hivyo sio lazima usome Mzumbe and that is the reason I said ili watu wawe na choice. It is not a must usome Mzumbe. Ulisoma UDSM degree ya kwanza na ya pili umesoma majuu, so what?

  7. Insabhunsa Gusa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 13th May 2011
   Posts : 98
   Rep Power : 557
   Likes Received
   45
   Likes Given
   84

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Hute View Post
   icho choo cha mzumbe. bogus kabisa...siwezi kusoma masters wala phd pale...ni sawa tu na kusoma online...magraduate wa pale ni kina Dr.kamala, dr. mery nagu etc....you now get the picture.....
   Bado hujajibu maswali niliyouliza hapo juu ndugu.Jibu ulichoulizwa...Kama huna jibu lenye tija basi ni heri ukae tu kimya kama wengine..

  8. Insabhunsa Gusa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 13th May 2011
   Posts : 98
   Rep Power : 557
   Likes Received
   45
   Likes Given
   84

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Kipilime View Post
   Ndhani ume-ku-ru-pu-ka toka katika usingizi mzito. Je hivi Dr. Kamala ana Masters au PhD ya Mzumbe, Dr. Mary Nagu ana PhD ya Mzumbe? Hujajibu hoja, ulivyoona tu Mzumbe tayari umekuja na premises ambazo inaonekana una prejudices kibao juu ya Mzumbe. (Possibly you were once aggrieved sometimes)

   Sasa swali ni Je, MBA ya Mzumbe na UDSM ni sawa? Hapana hazipo sawa kwa kuwa zinatolewa na vyuo viwili tofatuti na kila chuo kina mamlaka ya kutengeneza mitaala ya programmes zake na kupata approval ya TCU kulingana na mahitaji ya soko. Jee MBA ya Mzumbe, ya IFM, ya SUA, ya ESAMI au ya OUT zipo sawa?. La hasha hata kidogo. Usawa unaweza kuwepo kwa MBA ya UDOM kwa kuwa UDOM ni paste and copy ya kila kitu kutoka UDSM kama kasuku vile. Lakini MBA za vyuo vingine vyote hata hapa TZ hazipo sawa na hazitakiwi kuwa sawa ili kuwafanya watu wawe na choice.

   Ndugu KIPILIME,

   Asante kwa kunipa mwangaza, ingawa bado hujajibu sehemu ya pili ya swali...Nataka kujua courses zilizomo kwenye MBA--Corporate Management, Asante tena...

  9. Insabhunsa Gusa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 13th May 2011
   Posts : 98
   Rep Power : 557
   Likes Received
   45
   Likes Given
   84

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Kipilime View Post
   Hujaona kingine cha kujibu hadi useme umesoma majuu? read between the lines. I said "possibly" Hata hivyo sio lazima usome Mzumbe and that is the reason I said ili watu wawe na choice. It is not a must usome Mzumbe. Ulisoma UDSM degree ya kwanza na ya pili umesoma majuu, so what?

   Wana Zuoni wa ukweli, Acheni malumbano, mnapoteza nishati ya bure kujibizana, ni heri mngejikita kwenye mada ili tuwajenge wengine wanaotaka kufanya maamuzi ya nini wakisome katika kujiendeleza kielimu. Muda ni Mali jamani...Lets not waste time for nothing!!!!!!!

  10. mnozya's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 25th February 2009
   Posts : 144
   Rep Power : 681
   Likes Received
   20
   Likes Given
   2

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Hute View Post
   aggrieved sometiems by mzumbe? comon! tafazali bwana...mimi nimesoma degree yangu ya kwanza udsm, ya pili nimesoma majuu....hata bure mzumbe siendi....kuna vidigree fulani hivi ni vya chapchap..take away fulani hivi.....si unaona sasa ivi kinapigwa bao hata na sau tu?

   Sikujua mtu uliyepata exposure unaweza ukawa na hoja kama za mtoto wa darasa la pili. Pia sijui ulisoma UD zama za two universities in TZ? Siamini kwa graduate wa 2000's anaweza kuwa na mawazo kama yako zaidi katika free labour market na utandawazi.

   Kwenye labour market ya sasa cha msingi ni nini unadeliver na si umegraduate wapi, Ukiingia kwenye usaili na ukaanza kujiploud na kidigree chako basing on your university utaonekana ni limbukeni.

   Pia kumbuka kuna authorities zinazo fanyia tathmin mitaala na kuiaprove wakiwa na vigezo, sasa sijui wewe unatumia criteria gani.

   Hata hivyo inawezekana umefanya research na ukabaini hayo uyasemayo, kwa faida ya wote NAKUOMBA utuwekee jamvini hiyo tafiti yako na methodologies ulizotumia. Kama ipo umefanya basi hata wahusika itawasaidia OTHERWISE utakuwa umelewa common au wanzuki na huko majuu utakuwa ulikuwa bize kubeba mabox

   Nakushauri kama msomi utulie na ufanya critical analysis with a strong point na si poor analysis with weak point.

  11. Kipilime's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 4th April 2011
   Posts : 118
   Rep Power : 731
   Likes Received
   37
   Likes Given
   11

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Insabhunsa Gusa View Post
   Ndugu KIPILIME

   Asante kwa kunipa mwangaza, ingawa bado hujajibu sehemu ya pili ya swali...Nataka kujua courses zilizomo kwenye MBA--Corporate Management, Asante tena...
   Ndugu Insabhunsa,
   Halikuwa lengo la kutokukujibu labda kwa hilo niombe radhi. MBA Corporate Management ni general Management Programme yenye (10) courses (carrying 4 credit points each) plus dissertation (20 Credit points) after completion of course work. Hizo kozi ni Operations Management, Business Strategic Management, Finance for Managers, Managerial Economics, Marketing Management, Corporate Law & Governance, Business Research Methods, Organizational Behaviour and Human Resource Management, International Business Management, Entrepreneurship & Small Business Management, na Information Technology Management.

   Kwa hiyo kama unavyoona hapo juua katika programme content ni general management program. Lakini kama ungependa kufanya specialization unashauriwa kufanya MSc in either HRM, Marketing Management, Entrepreneurship, Local Government Mgt, Finance & Accounting, Finance & Economics for Development, Development Policy & Practice for Civil Society na nyingine nyingi kutemea na academic background, interests na career aspirations. Programmes hizo zote zinapatikana katika vyuo tofauti lakin Mzumbe University zipo pia.

   Nawasilisha.

  12. Mvaa Tai's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th August 2009
   Location : Kunduchi
   Posts : 4,738
   Rep Power : 33554
   Likes Received
   2174
   Likes Given
   1733

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Hute View Post
   icho choo cha mzumbe. bogus kabisa...siwezi kusoma masters wala phd pale...ni sawa tu na kusoma online...magraduate wa pale ni kina Dr.kamala, dr. mery nagu etc....you now get the picture.....
   Mimi nimesoma pale mpaka MBA, nipo nauza ujuzi wangu aghali kidogo.
   Mtoto wa jirani yako ni sawa na mwanao, hivyo hivyo hata kwa mke wa jirani yako!!!

  13. Insabhunsa Gusa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 13th May 2011
   Posts : 98
   Rep Power : 557
   Likes Received
   45
   Likes Given
   84

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Kipilime View Post
   Ndugu Insabhunsa,
   Halikuwa lengo la kutokukujibu labda kwa hilo niombe radhi. MBA Corporate Management ni general Management Programme yenye (10) courses (carrying 4 credit points each) plus dissertation (20 Credit points) after completion of course work. Hizo kozi ni Operations Management, Business Strategic Management, Finance for Managers, Managerial Economics, Marketing Management, Corporate Law & Governance, Business Research Methods, Organizational Behaviour and Human Resource Management, International Business Management, Entrepreneurship & Small Business Management, na Information Technology Management.

   Kwa hiyo kama unavyoona hapo juua katika programme content ni general management program. Lakini kama ungependa kufanya specialization unashauriwa kufanya MSc in either HRM, Marketing Management, Entrepreneurship, Local Government Mgt, Finance & Accounting, Finance & Economics for Development, Development Policy & Practice for Civil Society na nyingine nyingi kutemea na academic background, interests na career aspirations. Programmes hizo zote zinapatikana katika vyuo tofauti lakin Mzumbe University zipo pia.

   Nawasilisha.

   Ndugu Kipilime,

   Nakushukuru sana...Hii peace of info imenisaidia kupata mwanga na kufanya maamuzi. I am submitting my application for MBA ( Corporate Management) ya Mzumbe, I dont care wengine wanasemaje. Mara UDSM, UDOM Sijui majuu nk nk nk..Swala la kujiuliza ni kwamba hiyo elimu ulopata popote pale imekusaidiaje kupambana na mazingira yako!! Umejikwamua vipi na adui umaskini nk nk nk...Is the Life you are living in today relevant to the type of Univerisity or college went thru? Waswahili husema kwenye miti mingi hakuna wajenzi!!!! Unaweza pia ukawa ni kipanga darasani kuanzia darasa la kwanza mpaka PhD level, ukazipanga As ipaasavyo kwenye vyeti...Lakini maisha yakajaa F nyingi!!! Utamkuta mtu anaishi kama si msomi aliyepitia vyuo maarufu na shule zenye vipaji maalum. Mungu pekee ndie mpaji wa vyema. Let not despise others. Kwa mara nyingine nawashukuru nyote kwa kutoa mchago wenye tija, Naomba kufunga huu mjadala. Mpaka wakati mwingine kwa mada nyingine, WAKTABAHU!!!

  14. King2's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th November 2011
   Posts : 1,292
   Rep Power : 769
   Likes Received
   168
   Likes Given
   0

   Default Re: MBA(Corporate management) ya Mzumbe na MBA ya UDSM!!!!

   Chuo ni Chuo tu.

  15. Osama's Avatar
   Member Array
   Join Date : 3rd May 2011
   Posts : 61
   Rep Power : 551
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default

   Dah ndugu yangu namie pia nimeomba hiyo MBA ya mzumbe jioni mungu akijaalia InshaAllah tutakuwa sote class na kama ulivyosema elimu haijalishi umesomea wapi mbona kuna watu walisoma international schools na wengine tulisoma chini ya miti lakini tupo sawa tu. Cha muhimu ni jitihada na kujituma

  16. Osama's Avatar
   Member Array
   Join Date : 3rd May 2011
   Posts : 61
   Rep Power : 551
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Kipilime View Post
   Ndugu Insabhunsa,
   Halikuwa lengo la kutokukujibu labda kwa hilo niombe radhi. MBA Corporate Management ni general Management Programme yenye (10) courses (carrying 4 credit points each) plus dissertation (20 Credit points) after completion of course work. Hizo kozi ni Operations Management, Business Strategic Management, Finance for Managers, Managerial Economics, Marketing Management, Corporate Law & Governance, Business Research Methods, Organizational Behaviour and Human Resource Management, International Business Management, Entrepreneurship & Small Business Management, na Information Technology Management.

   Kwa hiyo kama unavyoona hapo juua katika programme content ni general management program. Lakini kama ungependa kufanya specialization unashauriwa kufanya MSc in either HRM, Marketing Management, Entrepreneurship, Local Government Mgt, Finance & Accounting, Finance & Economics for Development, Development Policy & Practice for Civil Society na nyingine nyingi kutemea na academic background, interests na career aspirations. Programmes hizo zote zinapatikana katika vyuo tofauti lakin Mzumbe University zipo pia.

   Nawasilisha.
   Ahsante sana mkuu umenisaidia hata mimi maana nimesha apply hiyo MBA pale mzumbe ya jioni so umenipa uelewa wa mwanzo ubarikiwe sana mkuu

  17. JamboJema's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th June 2011
   Location : Mwanza
   Posts : 1,109
   Rep Power : 754
   Likes Received
   167
   Likes Given
   224

   Default Re: MBA(Corporate management) ya Mzumbe na MBA ya UDSM!!!!

   Waache wanaosoma chuo, we kasome kozi
   Uchakavu wa Mahakama si nafuu ya hukumu!

  18. mjombo's's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2011
   Location : D'SALAAM
   Posts : 494
   Rep Power : 613
   Likes Received
   79
   Likes Given
   52

   Default Re: MBA(Corporate management) ya Mzumbe na MBA ya UDSM!!!!

   karibuni mzumbe acheni marumbano elimu popote iwe ng'ambo au ndani km nafasi inaruhusu soma popote bt no credit given bcoz umesoma ng'ambo km anavyodai huyo ***** mmoja hapo juu coz anaoneka kuwa hajakombolewa kimawazo na elimu yake na pia ana narow tinking km mnyama. dem it..........

  19. Rejao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2010
   Location : Long Street
   Posts : 9,171
   Rep Power : 25865
   Likes Received
   3685
   Likes Given
   3122

   Default

   Quote By King2 View Post
   Chuo ni Chuo tu.
   But ukiniletea mimi ofisini kwangu MBA or MSc ya Mzumbe also known as Voda fasta siwezi kukukosider kabisa kama mtu mwenye Masters.Nitakutupilia mbali!

  20. SJUMAA26's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2012
   Posts : 608
   Rep Power : 810
   Likes Received
   155
   Likes Given
   2

   Default Re: Mba(corporate management) ya mzumbe na mba ya udsm!!!!!!!!!!!!!!!!

   Quote By Insabhunsa Gusa View Post
   Ndugu Kipilime,

   Nakushukuru sana...Hii peace of info imenisaidia kupata mwanga na kufanya maamuzi. I am submitting my application for MBA ( Corporate Management) ya Mzumbe, I dont care wengine wanasemaje. Mara UDSM, UDOM Sijui majuu nk nk nk..Swala la kujiuliza ni kwamba hiyo elimu ulopata popote pale imekusaidiaje kupambana na mazingira yako!! Umejikwamua vipi na adui umaskini nk nk nk...Is the Life you are living in today relevant to the type of Univerisity or college went thru? Waswahili husema kwenye miti mingi hakuna wajenzi!!!! Unaweza pia ukawa ni kipanga darasani kuanzia darasa la kwanza mpaka PhD level, ukazipanga As ipaasavyo kwenye vyeti...Lakini maisha yakajaa F nyingi!!! Utamkuta mtu anaishi kama si msomi aliyepitia vyuo maarufu na shule zenye vipaji maalum. Mungu pekee ndie mpaji wa vyema. Let not despise others. Kwa mara nyingine nawashukuru nyote kwa kutoa mchago wenye tija, Naomba kufunga huu mjadala. Mpaka wakati mwingine kwa mada nyingine, WAKTABAHU!!!
   Kwa contradictions hizi ningeshangaa kama ungeenda UDSM, bora ukimbilie huko kwenye degree za Vodafasta! Wewe ulipewa link, kama kweli una akili timamu usingeendelea kutusumbua. Hata unge-google vyuo vyote duniani ungepata prospectus zao. Pia, kama Chuo ni Chuo tu, uliomba ushauri wa nini? Na kama unajua Mpaji ni Mungu, hii inahusiana nini na kusoma? Si ungebaki ulivyo usubirie huyo Mungu akupe? Na nani alikuambia kuna uhusiano kati ya Elimu na kufanikiwa kimaisha? You cannot rush to stupid conclusions like this without adequate research!

  Page 1 of 3 123 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...