Niko hapa Dodoma,nasubiria serikali ya magamba ielekee ICU,
Lakini,namuona Mh.Membe,Nasari,Magreti Sitta,Chemba,Mwakyembe,wakiong ea na viongozi wa serikali za wanafunzi wa elimu ya juu.
source,mimi mwenyewe!

nyie tahliso lakini mwafanya kazi yenu vizuri????? cause mkopo saizi uanaanza kuwa hadithi ya bunuasi......... ebu kuweni wamoja msikubali hili jambo likawa implemented............
Viongozi wa tahliso ni wakuda kwani hawajali maslahi yetu wenyewe wakishapata pesa zao za posho basi wanatusahau
Follow Us Here