Re: Natafuta chuo cha ualimu wa shule ya msingi (private)
Muhimu kwanza asiwe chini ya Div.IV 26pts-Tanga kuna Chuo kinaitwa Ekenford,Kule Mbeya kuna chuo cha Kanisa Uyole,Dar kuna vyuo kibao, kimojawapo ni Kimara Baruti,kingine PEN- Kariakoo tena karibu na soko Kuu,Ilala,na kingine kule Mbagala,St Mary Tabata nk.Ada ilikuwa 1.2Mil. kwa mwaka hiyo ilikuwa mwaka juzi sina uhakika kama zimepanda zaidi.
It's better to keep your mouth shut and be thought a fool, rather than open it and remove all doubt." -
Follow Us Here