JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Tangazo kuhusu nafasi za mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada kwa mwaka wamasomo 2012/2013

  Report Post
  Results 1 to 3 of 3
  1. prakatatumba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2011
   Posts : 1,328
   Rep Power : 780
   Likes Received
   172
   Likes Given
   9

   Default Tangazo kuhusu nafasi za mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada kwa mwaka wamasomo 2012/2013

   2. STASHAHADA YA UALIMU ELIMU MAALUM: MUDA WA MAFUNZO NI MIAKA 2
   Mwombaji awe na sifa zifuatazo:
   (a) Mwalimu mwenye Stashahada ya Ualimu fani ya Sayansi au Sayansi ya Jamii na uzoefu kazini usiopungua miaka miwili ;
   (b) Ufaulu wa mtihani wa Kidato cha 6 kwa kiwango kisichopungua „Principal Pass‟ moja na „Subsidiary‟ moja za masomo yanayofundishwa katika shule za sekondari;
   (c) Mwalimu anayefundisha watoto wenye mahitaji maalumu (wasioona, viziwi, wenye ulemavu wa akili nk) ni sifa ya nyongeza (vithibitisho viambatishwe).

   3. STASHAHADA YA UALIMU SAYANSI KIMU: MUDA WA MAFUNZO NI MIAKA 2
   Mwombaji awe na sifa zifuatazo:

   (a) Mwalimu mwenye Cheti cha Ualimu Daraja A;
   (b) Mwalimu mwenye Cheti cha ualimu Sayansi Kimu; na
   (c) Ufaulu wa mtihani wa Kidato cha 6 kwa kiwango kisichopungua ‘Principal Pass‟ moja na „Subsidiary‟ moja za masomo ya ‘Biology, Chemistry and Nutrition’.

   VIAMBATISHO/ MAELEZO MUHIMU
   Waombaji wa mafunzo ya Ualimu waambatishe vielelezo vifuatavyo:
   (i) Nakala za vyeti vya ufaulu Kidato cha IV na cha VI;
   (ii) Nakala za vyeti vya kuhitimu mafunzo ya ualimu ngazi ya Cheti na Stahshahada (kwa Walimu kazini);
   (iii) Barua za Walimu kazini zilizopitishwa na Waajiri;
   (iv) Sifa zilizoelekezwa kwa kila kozi ni kwa ajili ya waombaji wa mafunzo ya ualimu katika vyuo vya ualimu vya Serikali na Vyuo Visivyo vya Serikali;
   (v) Wahitimu wa Kidato cha 4 mwaka 2011 na Kidato cha 6 mwaka 2012 walioomba kupitia „Sel forms‟ wanatakiwa kutuma maombi upya kwa barua;
   (vi) Majibu kwa watakaochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu yatatolewa kwenye Tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi;
   (vii) Barua za kujiunga na mafunzo zitatolewa na chuo atakakopangwa mwombaji kwa kutumia anuani ya yake; na
   (viii) Tangazo hili lipo pia katika tovuti ya Wizara: WELCOME TO MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING OFFICIAL WEBSITE:::::::::, Ofisi za Makatibu Tawala (M) na Vyuo vya Ualimu.

   MWISHO WA KUPOKEA BARUA ZA MAOMBI NI TAREHE 30/04/2012.
   Maombi yatumwe kwa:
   KATIBU MKUU,
   WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI,
   S.L.P. 9121,
   DAR ES SALAAM (Aione: Mkurugenzi, Elimu ya Ualimu)   source: WELCOME TO MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING OFFICIAL WEBSITE:::::::::


  2. Mr.creative's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th August 2011
   Posts : 492
   Rep Power : 623
   Likes Received
   72
   Likes Given
   9

   Default Re: Tangazo kuhusu nafasi za mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada kwa mwaka wamasomo 2012/

   Thank u!

  3. prakatatumba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2011
   Posts : 1,328
   Rep Power : 780
   Likes Received
   172
   Likes Given
   9

   Default

   Quote By Mr.creative View Post
   Thank u!
   poa mkubwa,ngoja tuwasubirie wazee wa kilimo kwanza tuwapeleka wadogo zetu


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...