JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: What Does It Mean "The Professional"

  Report Post
  Results 1 to 9 of 9
  1. Silicon Valley's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th March 2012
   Posts : 303
   Rep Power : 555
   Likes Received
   64
   Likes Given
   312

   Default What Does It Mean "The Professional"

   Hi, Members kindly assist me to know the exactly professional of my friend as he has got the following Qualifications;

   1. Diploma in Electronic Engineering.
   2. Bachelar of Commerce in Finance(B.com,fin)
   3. Master of Business Administration (MBA)
   4. Post Graduate Diploma in Entrepreneurship and Enterprise Development (PGDEED)
   5. He is doing Business more than 10 yrs.

   So what is his profession as per that qualifications ? ? ?

  2. Ngereja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th February 2007
   Posts : 798
   Rep Power : 37552705
   Likes Received
   291
   Likes Given
   25

   Default Re: What Does It Mean "The Professional"

   Quote By Silicon Valley View Post
   Hi, Members kindly assist me to know the exactly professional of my friend as he has got the following Qualifications;

   1. Diploma in Electronic Engineering.
   2. Bachelar of Commerce in Finance(B.com,fin)
   3. Master of Business Administration (MBA)
   4. Post Graduate Diploma in Entrepreneurship and Enterprise Development (PGDEED)
   5. He is doing Business more than 10 yrs.

   So what is his profession as per that qualifications ? ? ?
   He is a technician electronic engineer (kwa diploma yake ya kwanza)
   He is a finance specialist with expertise in administration and entrepreneurship (kwa shahada yake ya kwanza ya finance and MBA pamoja na PGD).

   Kama unazungumzia taaluma, shahada ya kwanza ndio inampa mtu taaluma, shahada ya pili ni ya kuongeza ujuzi katika mambo mengine zaidi, yanaweza yakahusiana na taaluma husika aliyosoma shahada ya kwanza au isiwe hivyo, mfano ni hiyo ya MBA na PGD. Diploma ya electronic engineering pia inampa taaluma husika katika ngazi ya fundi mchundo.

  3. MadameX's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th December 2009
   Location : Timbaktu
   Posts : 7,833
   Rep Power : 24843
   Likes Received
   3731
   Likes Given
   1784

   Default Re: What Does It Mean "The Professional"

   Just looking into without knowing his experience, he is more into Finance and Business Expert rather than his electronics Engg.
   Dont put the KEY to your HAPPINESS on someone' else's POCKET

  4. MTAZAMO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Location : KAISHO-KYERWA
   Posts : 9,844
   Rep Power : 429498948
   Likes Received
   7022
   Likes Given
   15675

   Default

   Quote By Ngereja View Post
   He is a technician electronic engineer (kwa diploma yake ya kwanza)
   He is a finance specialist with expertise in administration and entrepreneurship (kwa shahada yake ya kwanza ya finance and MBA pamoja na PGD).

   Kama unazungumzia taaluma, shahada ya kwanza ndio inampa mtu taaluma, shahada ya pili ni ya kuongeza ujuzi katika mambo mengine zaidi, yanaweza yakahusiana na taaluma husika aliyosoma shahada ya kwanza au isiwe hivyo, mfano ni hiyo ya MBA na PGD. Diploma ya electronic engineering pia inampa taaluma husika katika ngazi ya fundi mchundo.
   Mkuu Professional lazima jamii iikubali huduma ya taaluma hiyo kama huduma muhimu na lazima iwe na sheria zinazotambulika rasmi kuiongoza maana misuse ya taaluma hiyo inaweza kuleta adhari ktk jamii! Lazima kuwe na mfumo unaokubalika kutoa Qualifications za hiyo taaluma.ndio maana Professionals ni kwa taaluma zifuatazo,Udaktari,Lawyers,Acc ountants,mainginia n.k hivyo kwa taaluma nilizotaja lazima utambuliwe na Professional board baada ya kufaulu mitihani ya taaluma hiyo na ukishapata experience ya muda fulani unasajiliwa rasmi.ukiwa professional lazima uishi kwa miiko fulani maisha yote ya professional yako mfano lazima kila mwaka uhudhurie Continue Professional Development (CPD) programs za masaa fulani ili uwe up todate na uendelee kuwa hai kiprofessional otherwise unaweza kufutiwa certificate of practice! Hivyo huyo jamaa hapo juu si professional bali ni Academician tu!
   Last edited by MTAZAMO; 18th April 2012 at 17:48.

  5. dav22's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 1,913
   Rep Power : 879
   Likes Received
   251
   Likes Given
   129

   Default Re: What Does It Mean "The Professional"

   he he he he he he he aisee huyu jamaa nouma anywe sio mbaya wanasema inabidi unakuwa multi-proffesional

  6. mbwagison's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th February 2012
   Posts : 51
   Rep Power : 509
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By dav22 View Post
   he he he he he he he aisee huyu jamaa nouma anywe sio mbaya wanasema inabidi unakuwa multi-proffesional
   shahada yake ya kwanza ndo professional yake,mazagazaga mengine ni nyongeza tu! Angalizo hapa ni kwamba a jack of all is a master of none!

  7. MadameX's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th December 2009
   Location : Timbaktu
   Posts : 7,833
   Rep Power : 24843
   Likes Received
   3731
   Likes Given
   1784

   Default Re: What Does It Mean "The Professional"

   Quote By mbwagison View Post
   shahada yake ya kwanza ndo professional yake,mazagazaga mengine ni nyongeza tu! Angalizo hapa ni kwamba a jack of all is a master of none!
   Dooh unamaanisha hiyo Diploma, not necessary. haiwezi kumsaidia sana maana diploma ni ujuzi mdogo. For me I still believe is jack of trade in Business arena.
   Dont put the KEY to your HAPPINESS on someone' else's POCKET

  8. Speculator's Avatar
   Member Array
   Join Date : 30th March 2012
   Posts : 56
   Rep Power : 502
   Likes Received
   3
   Likes Given
   25

   Default Re: What Does It Mean "The Professional"

   Kama biashara yake ni katika nyanja ya uinjinia ina maana amejiimarisha kwa kujiongezea ujuzi katika fani za biashara. Hizo degree no. 2 na 3 na diploma (no.4) ni katika maswala ya kibiashara. Ni mchanganyiko mzuri kwa mfanyabiashara/mjasiriamali.

  9. nketi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th February 2012
   Posts : 560
   Rep Power : 610
   Likes Received
   100
   Likes Given
   23

   Default Re: What Does It Mean "The Professional"

   Nasikia jamaa aliyekuwa anaitwa tuntemeke sanga alikuwa na degree saba....anayejua zilikuwa degree za nini hasa na professional yake in that case ilikuwa nini?

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...