Re: Hatimaye St.joseph college of engineering and technology yawa univerisity
By LORDVILLE
kwenye red una uhakika??????!!!
Ntaikubali siku wahindi wakiondoka, sina maana wanafunzi na waTZ walioko pale wana tatizo ila Wahindi in nature wanawaburuza.... Just imagine hata kwenda bodi kudai fedha zako unafukuzwa chuo, nadhani hata chekechea wanafuata sheria na taratibu ambazo zinakubalika kwa pande zote....
“Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them.”“Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.”" by Albert Einstein"
Ulishaona University yenye Prof Moja... tena kutoka India, wao hata mtu wa Veta anafundisha...
Embu TCU iwe serious, kwanza wanaharibu Elimu yetu
acha majungu weeweee!!ktk elimu ya sasa wa2 hawaangalii chuo kua na maprofesa wangapi wanachoangalia ni ubora wa elimu inayotolewa je inaweza kuleta ushindan ktk soko la ajira....mbna udom wana maprofessa wengi lakin kiwango cha elimu kinachotolewa ni kibovu ambacho hata kwenye soko la ajila hakina ushindani........
Follow Us Here